Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Hakuna kitu sikipendi kama mmefuatana watu wawili then mwenzako akakutana na rafiki ake wa kwao wakasalimiana kiswahili ghafla lugha ikabadilika wakawa wanaongea lugha ambayo huielewi...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari, Wanawake wengi wakiwa hawajaolewa (ama wana watoto au la) baada ya miaka 30 huwa na falsafa zao. Moja ya falsafa zao ni hii hapa. (Unaweza pia kuongezea)
1 Reactions
117 Replies
17K Views
BLEEDING LOVE Isingekuwa rahisi kujizuia. Angewezaje kujizuia ikiwa mashoga zake karibu wote walikuwa na michepuko yao, na bado ndoa zao zikabaki salama vile vile? Shoga yake aitwaye Amina...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Juzi nilienda Kenya kwa shughuli za biashara, kutokana na shughuli za shamba kupakia mzigo na kusafiri kwenye magari na mzigo nikafika nikiwa nimechoka sana, na viungo vinauma sana Nikafika...
8 Reactions
47 Replies
11K Views
Kuna gym hua naenda kufanya mazoezi hapo posta, yaani sipendi kuwaficha, huku gym wanawake hawa wanaliwa sana, mwanamme kama unafuga kitambi chako usiruhusu mke wako aje gym huku Yaani kwa haraka...
21 Reactions
192 Replies
18K Views
Wizara ya Afya ya nchini Uganda imewataka Wanaume wote nchini humu Kuacha mara moja Kunyonya maziwa / matiti ya Wake / Wapenzi wao kwakuwa yametengenezwa maalum na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii inanishangaza sana, hivi sisi baadhi ya wanawake tukoje? Mtu unapigwa na mwanaume kama punda unakuja kusumbua watu wengine wanakufata wanakuuguza wee ukipona huyo kiguu na njia unarudi huko...
11 Reactions
452 Replies
29K Views
Habari za Jumapili wandugu.. Rejea kichwa cha habari hapo juu, Kuna dhana imeenea sana huku kwetu Pwani kwamba bidada anayejua kukaangiza madiko diko, wako vizuri sana, ikiwa na maana ni wazuri...
3 Reactions
130 Replies
11K Views
WAKATI NA MAISHA Time will tell! Huu ni msemo maarufu wa kizungu wenye dhima ya kutukumbusha umuhimu wa matumizi mazuri ya muda. Hakuna asiyejua kuwa kwenye maisha kuna kipindi cha neema na...
2 Reactions
3 Replies
755 Views
Morning good people! Inawezekana umewahi kujiuliza mara moja, kwa nini boyfriend/girlfriend wangu anataka picha zangu za uchi/utupu? Hizo picha huwa anazifanyia kitu gani na zina faida gani...
20 Reactions
307 Replies
85K Views
Naomba tupeane uzoefu wa jinsi hali inavyokuwa unavyojua na kujihakikishia kuwa mwenzio (mke/mume/mpenzi) kachepuka uchungu na uzito tunao lipa tatizo hili huwa ni sawa kwa wanaume na wanawake...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa. Nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambao...
5 Reactions
87 Replies
10K Views
Binadamu, watu, sio wa kuwaamini moja kwa moja. Usiweke asilimia 100. Kwanini nasema hivi. Hali inasikitisha sana wale watu tunaowaamini, tunaowapa siri zetu, ndo hao hao wanaotugeuka na hata...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za jumapili wapedwa Mungu ni mzuri jumapili iko vyema. Nimekaa hapa ghafla nawaza Katika maisha kuna watu/ mazingira yanatufanya tuwe mbali kihisia ( mfano, wazazi wanakukataza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Aisee ugomvi wa watoto siyo wa kuingilia, kuna siku mwanangu Rizuge wa miaka minne alikuja kunishtakia kuwa amepigwa na mwenziwe Pizaulo ambaye umri unakaribiana. Mimi kwa...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Mke ni ni tulizo la moyo ndani ya familia,ni kweli kuna wakati anakosea na unatamani umpige lakini usipomkunja naye hujiona ni mfalme ndani ya nyumba. Itoshe kusema ukiwa na mke wako jambo lolote...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
1.Ni bora Mara elfu uamini mungu yupo kuliko kutoamini maana usipoamini siku moja unaweza kukutana nae ukalia na kusaga meno 2.usihuzunike sana kwa aliyekuacha maana amechoka kujifanyisha...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
ACHA KUCHEKESHA ETI OOOHHH ANANIPENDEA PESA Unaishi nyumba ya kupanga na hata kama umejenga kwa mkopo kudunduliza matufali, una kagari kamkopo au hata ni mtu wa daladala. Akija kwako ukijitahidi...
2 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom