TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
1: Ni ajabu kumwita mwanaume wenzako 'my'
Hii ni dalili mbaya sana kwa mwanamme aliekamilika unless uwe 'marindales'
Ety 'My' wangu nambie!!!!
2: Ni ajabu kumdonyoa mwanamme mwenzako anapokupa mkono kwa salamu we unadonyoa tena kimadoido aseee.
3: Ni ajabu kwa mwanamme kujiita 'muosha rungu'
Sasa mwanamme unaoshaje rungu rafiki yangu??
4: Ni ajabu mwanamme kuuliza maswali nyeti hadharani bila kuwa na wasiwasi hata kama ni fake ID kuwa na brake..
Mfano. Muosha rungu.
5: Ni ajabu mwanamme kujisifu kupiga punyeto hadharani, unatoa siri za wanaume hadharani we all know how to do it kuweni waungwana.