lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Unakuta umemtongoza msichana na mkajikuta mmeingia kwenye mahusiano ambayo hayana hata mwezi mmoja na kibaya zaidi hata papuchi yake hujaionja lakini haishi kukupiga mizinga kila uchao.
Mara utaskia oooh baby nina shida ya elfu hamsini kuna kiatu nimekiona nataka ninunue hujakaa sawa mara ooh hii simu ninayotumia nimeichoka naomba uninunulie nyingine yani ni shida kwa kwenda mbele.
Wakati mwingine wasichana muwe mnawaza mara mbili kabla huja express shida zako kwa mpenzi wako mpya.Mpe kwanza papuchi halafu ndo uanze kumuelezea hizo shida zako mana sisi wanaume baadhi yetu ni wadhaifu sana,tukishaonja papuchi angalau sasa tunakua na moyo hata wa kuwatatulia shida zenu.
Kama mtaendelea na tabia hii ya mizinga kila uchao mtaendelea kuachwa kila siku.
Ni hayo tu.