Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Naomba kuuliza ni njia ipi rahisi kuanzisha urafiki na mtu awe mwanamke au mwanaume (urafiki wa kawaida tu si vinginevyo) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Huu uzi ukipata wachangiaji wa kutosha nitaleta mrejesho kuhusu yule msichana aliekuwa mpenzi wangu lakin tuligombana na kuachana nae kwa matusi na maneno ya kashfa..stay tuned!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Hivi mfano ulikuwa huna kazi halafu mama yako akakuombeaa na kukuambia ipo siku Mungu atakujaalia kupata kazi...ni zawadi ipi unaweza kumpa mama yako ili uridhike kwa 100% Ama...
1 Reactions
64 Replies
12K Views
Wikiendi Hiyoooooooo!!!!!! Baada ya kuishia hewani katika simulizi la "PENZI LA UTENAGE" sasa nimekuja na bonge la kichupa kingine. Tahadhari: Soma ukiwa katika mazingira tulivu na uwe peke...
3 Reactions
62 Replies
15K Views
Huyu shost alikuwa na danga la kizungu akijua mambo safi atakuwa mke wa mzungu soon, jamaa amepata uhamisho kwenda Adis anamwambia shost it's over between them. Baada ya maneno yale shost mshtuko...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Hatimae shirika la Afya Duniani lathibitisha ramsini, kwamba kuwa kapera ni sawa na ulemavu Mnamo Oktoba 2016 ilitangazwa na viongozi wa shirika la afya duniani wao wenyewe kwamba kutokuwa kwenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Utakuta unampenda mwanaume sana na yeye anakupenda, ila muda wa uliwazana hakuna mkikutana ni wakati wa bao tu, muda mwingi upo na ya kwako. Mapenzi yatakwendaje? Michepuko haitaisha jamani.
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wana JF, Nimekua single for a while kutokana na matatizo niliyopata hapo zamani, kuna rafiki yangu akaniomba niingie mtandao fulani wa dating, sitajutia. Nimempata mkaka, nimempenda ila...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
I hope mko poa, Niko kwenye mahusiano na binti kwa mda wa mwaka mmoja na nusu sasa juzi juzi tuu baba yake mzazi alifariki dunia. Sasa baada tuu ya mzee wake kufariki dunia ameingia kwenye...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Salama wanandugu wenzangu, Nirejee kwenye mada moja kwa moja. Siku moja tulikuwa tunatoka kurekebisha mnara wa simu mkoa fulani kulitokea tatizo la network nilikuwa mimi na rafiki yangu tulikuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Wakuu, Kuna Manywele Wanawake wanavaa ya kutengeneza na wengine wanasuka na kushonea. Usikubali Mpenzi wako aje nayo Getto au Nyumbani kwako. Yanaleta mikosi kwenye familia...
3 Reactions
69 Replies
12K Views
Kwa research ndogo niliyofanya nimegundua wanawake age ya 26,27 hivi na kuendelea wengi wapo single ukilinganisha na age za 25 ivi kurudi nyuma. Hivi sababu ni nini hasa?
5 Reactions
96 Replies
14K Views
Miaka ya nyuma ilikuwa sio tatizo sana katika swala la kupata mchumba or mwenzi sahihi, kwa sababu wazazi walishauri zaidi kijana aoe au aolewe maeneo ya karibu na jamii anayotokea sababu ilikuwa...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Na bado Unajiita mwanaume.... 1. Umempa mimba mara tatu mwanamke wako, mara zote umemshinikiza azitoe halafu unamuacha, unaenda kuoa mwanamke mwingine. Halafu bado unajiita mwanaume. 2...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Natafuta mchumba wa kuoa umri 18 mpaka 23 dini Islam au awe tayari kubadili elimu yeyote kazi yeyote, mimi kazi yangu mjasiriamali mdogo, nipo kijijini na awe tayari kuishi huku. Mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Silvester Niko Dar natafuta mchumba, umri wangu ni miaka 29, mchumba ninaemtafuta awe mkweli na mwelewa na awe na shepu, mimi ni mjasiliamali naitaji mchumba ili tusaidiane maisha sitanii ni kwl...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Kaaaahhh kimenukaaa...!!! Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja! Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba...
1 Reactions
115 Replies
11K Views
Poleni na majukumu, Nina mpenzi tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana ajabu kila nikimwambia tukapime UKIMWI ananipa excuse kibao, Mara tutapima tu, Mara una haraka gani? Mara niko busy sana na...
1 Reactions
60 Replies
3K Views
Hello my people how are you. I do believe that one can get a husband or wife anywhere as long as they have the same commonalities. That being the case I Binti Mimi is searching for my soul mate to...
7 Reactions
175 Replies
15K Views
Back
Top Bottom