Atukuzwee
Senior Member
- Aug 6, 2017
- 150
- 281
I hope mko poa,
Niko kwenye mahusiano na binti kwa mda wa mwaka mmoja na nusu sasa juzi juzi tuu baba yake mzazi alifariki dunia.
Sasa baada tuu ya mzee wake kufariki dunia ameingia kwenye majaribu makubwa kweli anapatwa na mikosi mikosi na juzi hapa kafukuzwa kazi bila sababu ya msingi wamemuibia simu ya milioni moja na nusu yaani mambo yake yamekua ovyo tunashindwa kuelewa.
Naomba ushauri jamani