nikubhilikile uje
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 264
- 243
Salama wanandugu wenzangu,
Nirejee kwenye mada moja kwa moja. Siku moja tulikuwa tunatoka kurekebisha mnara wa simu mkoa fulani kulitokea tatizo la network nilikuwa mimi na rafiki yangu tulikuwa tunaludi Dar kiukweli tulikuwa speed hatari sana kiukweli tulikuwa tumelaza mshare lengo letu tusilale nje ya Dar kwani tulikuwa tunamuda kidogo tuko kwenye huo mkoa.
Sasa basi tumefika sehemu fulani kumbe kulikuwa na matrfic wanne 2 wa kike 2 wa kiume wakatupiga mkono tukasimama ila mbali kidogo wakaja ikabidi dreva ambaye alikuwa ni rafiki yangu ashuke, mimi nikabaki kwenye gari muda kidogo akaja traffic wa kike nikawa namcheck kwenye kioo cha gari kiukweli yule traffic alikuwa kaumbika dada alikuwa mzuri kikweli Mungu alikuwa amemjalia.
Alipofika akaanza kunichimba mkwala sana mimi nikaanza kumtongoza palepale na mkwara wake akaanza kusema unanitongoza nikiwa kazini na nimevaa sare za kazi kweli akamaind sana tukaongezewa makosa ikabidi nikomae kumtongoza mpaka akanipa namba yake ya simu.
Kilichofuata nikaanza kumtafuta tukakutana sehemu siku hiyo hiyo nikaanza kuitwa baby nikamaliza kazi, ikabidi nimuulize kwanini ulinichimba mkwala akajibu tuyaache hayo, ila sasa anawivu huyo dada kila muda anataka ajuwe niko wapi nafanya nini kila sehemu ninayoenda imekuwa kero kiukweli imefikia hatua ngumu kwangu sina la kufanya kila nikifikiria anajituma kwa kila kitu ananipenda sana tena sana TATIZO WIVU umezidi sina raha nishamwambia wapi ananichukulia mimi malaya lakini sivyo, siko hivyo.
Wanandugu nifanyeje kwenye hili swala tushauriane kwenye hili swala la wivu kiukweli ni kero.