Ushauri: Nimepata mchumba anatokea Nigeria

Ushauri: Nimepata mchumba anatokea Nigeria

Christina84

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
74
Reaction score
50
Habari wana JF,

Nimekua single for a while kutokana na matatizo niliyopata hapo zamani, kuna rafiki yangu akaniomba niingie mtandao fulani wa dating, sitajutia.

Nimempata mkaka, nimempenda ila anatokea Nigeria, wengi wananiambia, anatafuta kibali tu cha kuishi huku, niko njia panda.

Nimbwage ama niende na flow?
 
Habari wana JF,

nimekua single for a while kutokana na matatizo niliyopata hapo zamani,

kuna rafiki yangu akaniomba niingie mtandao Fulani wa dating,sitajutia......

nimempata mkaka,nimempenda ila anatokea Nigeria,

wengi wananiambia,anatafuta kibali tu cha kuishi huku,,niko njia panda,nimbwage ama niende na flow?
Akili za kuambiwa changanya na za kwako kisha toa maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni wangu tuuuu wewwweeee , mimi ni wako tuuuuuuu miiimiiiiiii- naimba tu
 
Duh! Mkuu mbona mabandiko mengi humu ya wanaotafuta wachumba na wake? Hao jamaa ni matapeli na wajanja sana! Atakukoleza utadata then utafuata kila anachosema na huo ndio utakuwa mwisho wako!
 
Back
Top Bottom