Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Huyu shost alikuwa na danga la kizungu akijua mambo safi atakuwa mke wa mzungu soon, jamaa amepata uhamisho kwenda Adis anamwambia shost it's over between them. Baada ya maneno yale shost mshtuko ameanza kupata na morning sickness, kumbe makinikia ya mzungu yanaendeleza uhai tumboni.
Shost mzuri ni wale madada wa mujini. Sasa amekutana na mmbongo na ameelezwa kuhusu mimba mbongo anasema ingekuwa mimba mmatumbi asingejali sasa yeye aje kulea katoto ka kizungu itakuwaje anataka shost sitoe mimba.
Shost ndoa anaitaka lakini kukata mimba ukiwa 30+ alafu mtu anakwambia uiflash nayo ni habari nyingine.