Natafuta mchumba

hb81

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
289
177
Natafuta mchumba wa kuoa umri 18 mpaka 23 dini Islam au awe tayari kubadili elimu yeyote kazi yeyote, mimi kazi yangu mjasiriamali mdogo, nipo kijijini na awe tayari kuishi huku.

Mawasiliano humuhumu JF umri wangu miaka 30

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
huko kijijini mnao onana nao live hawafai?
anyway kila la kheri.....ukimpata usisahau kuleta mrejesho tuingize kwenye hansadi ya jf
Huku hawapendi kuolewa kijini lazima atoke kwanza aende mjini akipachoka huku ndio anarudi huku sasa anakuwa ameshachoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndoa mtafungia huko huko
Jf

[Color= yellow]Triple A[/color]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom