Jamani yeyote anaemtaka huyu demu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Yericko Nyerere, Nov 1, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

  Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:

  Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

  Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  pole xana, nani anataka matatizo?
   
 3. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  weka picha yake kwa usalama wa wengine hilo ni jini ambalo umelitoa kwenye chupa sasa huwa haliludi tena
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Umeyataka mwenyewe, wala hukulazimishwa... pole sana
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  umemtoa kwa hamsini????
  umemhonga elfu hamsini?na kutembea nae bado sio??????

  sasa hapo si umejitangaza buzi????/afanyaje??????
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,117
  Trophy Points: 280
  Bila shaka wewe mwenzetu ndio Mbwiga wa Mbwiguke thats why unakamuliwa
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ahaaahaa waungwana binti katuma sms nyingine sasa hivi!

  Yani nimekutumia sms tangu mchana nimekwambia ninashida na laki tano umesema hujaiona?sasa huo ulikuwa mtihan mdogo 2 umeshindwa naona ha2wez kuwa wapenz.bye.
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Uroho wako ndiyo unaokuponza. Wewe kufika tu Dar na demu wakati huo huo!!!
   
 9. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Msaidie kijana mwenzio!
   
 10. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,360
  Trophy Points: 280
  Ulimtoa kivije hiyo 50!! ni hongo ili upate mapenzi au umemchunuku tu? kakuona ww BUZI
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,381
  Likes Received: 5,665
  Trophy Points: 280
  kuwa makini sana unaweza kula dadako ukimchunguza sana unaweza kuta dadyyyyyyyyyyyyy alitoka nje Mungu akaamuwa kuwakutanosha kwa njia ya Pesa muulize jina la babake nani??
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,381
  Likes Received: 5,665
  Trophy Points: 280
  saudi ulitaka akababane na travetine na kina aunt suzi???loh kweli umpendi mwenzio weye sichelewi kukuita saidcameroon
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahaha mkuu inaonekana huna mashairi ya kuimbisha , unahonga 50 ili kumweka karibu hahah sasa ndo kaamua kujithaminisha mara kumi ya uliyompa ya kuongelea sasa aliyokupa 500 000 ni kwa ajiri ya kumvua chupi tu bado kulala nae andaa 1,000,000
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Wenzako demu huyo huyo tunakula na kwa huruma buku 5 apata walau nauli na dinner!hamsini duu
   
 15. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapendwi mtu ila pesa akili changanya na zako
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ndio dawa yenu hiyo. Bila kupigwa mizinga mnaganda watu kama luba. Lol.
   
 18. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huyo wala usimjibu kitu just your silence itamtoture mpaka akutafute mwenyewe!
   
 19. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wewe unamkimbia, sasa unadhani nani anataka vimeo???
  halafu hayo yalikuwa yenu wawili, kwani ukisema huna pesa, utakuwa si mwanaume??. na wewe unamatatizo, kukutana na mtu ndo lazima uchukue contacts zake,? nampongeza huyu dada kwani amekuweka mbali nae, sasa ninakulaumu wewe kwakutaka kumsogeza mtu mwingine kwa huyo demu wa laki tano
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hamsini? daaah ana bahati sana...yaaani mi ndo inhekuwa posa hiyo
   
Loading...