Mpenzi hataki tupime

Mpenzi hataki tupime

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
162
Poleni na majukumu,

Nina mpenzi tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana ajabu kila nikimwambia tukapime UKIMWI ananipa excuse kibao, Mara tutapima tu, Mara una haraka gani? Mara niko busy sana na tunasex tena bila kinga haoni kama ni tatizo.

Nifanyeje? Naombeni ushauri
 
Polen na majukum
Ninampenz tuna mda sio mrefu tangu tumefahamiana.... Ajabu kila nikimwambia tukapime ukimwi ananipa excuse kibao...Na tunasex tena bila kinga haoni kama ni tatizo...

Kwa hiyo anakugegeda bila kinga na wewe upo tu? Nadhani ukapimwe wewe kwanza....ukimwi, mkojo na stool. Ukishapata majibu, mletee ayaone na inaweza kumconvice na yeye akapime, depending na majibu yako.
 
Asa si mshasex bila kinga, its s simpo mathematics mkuu, kapime wewe then fanya generelazation ya majibu tu
 
una hatar sana we @maimartha! nna ndg nnaishi nae hapa kwangu nikikuambia ana ngoma utabisha na kubisha! kwann km hatak msitumie condom!duh aic umejizira
 
Back
Top Bottom