Umaskini mwingi huletwa na wanawake ktk mahusiano na ndoa, a woman never satisfy..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umaskini mwingi huletwa na wanawake ktk mahusiano na ndoa, a woman never satisfy..!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jay One, Nov 1, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Kaaaahhh kimenukaaa...!!!
  Kwa WANAUME: ukitaka kufeli kimaisha till 2 b Matonya like, mpende mwanamke, then uone drama, hawa wanawake hawajui MAENDELEO, ARE SHORT SIGHTED, ataku endesha hadi kazi, marafiki, ndugu wooote utawaona wabaya, natakaaaa, natakaaa hiki, kile, hii, hiyoo, au wengine hawasemi wapo kimya usiponunua atakacho anatoka nje kugawa mzigo, ALERT TO MEN. do what u can do most women never satisfy, u can do matured sex with her, rough one, atakutamkia NO ONE LIKE U, utampeleka out, shopping, mpe hela, BALAA atagawa nje bureeeee, MEN, my FELLOW MEEEN, watch out, since ADAM & Eve, DELILA & Samson, STRASS KHAN former imf chief, WOMEN ndio chanzo cha kuanguka vibaya, MY FELLOW MEEEEEN, have a touuugh stand kuhusu hawa watu, do everything, one day asubuhi mkate ukosekane ndio utajua hawana simile, memory, or ulifanya kizuri in the past, USIMWONESHE MWANAMKE UNA MPENDAAAAA, utakuwa maskini fukara kabisa, tired
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  This is funny bordering pathetic! hahaha
   
 3. J

  Jakie_optimist Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio wote kaka..
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sio wote wapo wenye akili zao na wanajua thamani ya kupenda na kupendwa pia wanajua maisha ni kitu gani, sasa unaokutananao ni vilaza.
  na ndo maana wanakuendesha hivo
   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Hata ungekuwa Jakie_pessimist, still nakuambia almost 90% ya wanawake ni loss in life, hasara, si kwangu nimeona live in many marriage & relationship how women never statisfy, ila akiwa na mumeo she will pretend mwema kama MALAIKA, ukimwacha anageuka like SHETANI, WANAUMEEEEE WATCH OUT, these creatures, men do ur stuffs, put women as Xtra thing, WALLAAHI HUTAENDELEA
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Samahani lakini kwa ntakalosekuliza ikiwa ntakukwaza.
  Unamanisha hata mzazi wako pia alimfilisi Baba yako? au ulipata wapi utafiti kama huu?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kweli kweli!!!
   
 8. S

  Sharp Observer Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Braza we acha tu.
  Ilikuwa ni mwaka 2008
  Baada ya kuona maisha ya kupanga ni magumu, niliweka mpango wa kujenga nyumba ya wastani. Kuna pesa nilipata mahari, nikaongezea na mkopo toka benki halafu ujenzi ukaanza. Kwa kuwa nilikopa benki, mshahara unaoingia kwenye account ukapungua kutokana na makato. Baadaye mke akapata kazi inayomlipa mara nne ya kipato chake cha awali.

  Nikamshauri anipunguzie mzigo wa kodi ya meza bz pato langu limeshuka. Haikupita nusu mwaka malalamiko niliyopata, asikwambie mtu. Eti simtunzi (economically). Wakati anajua economically pato limepungua kwa sababu gani.

  From that day mpaka leo sina hamu naye on economical issues. Nafanya ninachoweza.
   
 9. I

  Ipinda Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu soma bibblia..agizo la mungu ni "enyi waume ishini na wake zenu kwa akili" so mi nahisi hujafuatisha maagizo hayo...
   
 10. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Acha ujinga nausilete matusi. Amesema be careful with woman. Kama uwamini endelea baadae utajuwa kile alikuwa anamanisha. Kuwa makini kuwa makini, mwanamke hakumbuki jema lolote utamtendea kikinuka kimenuka! Sasa kama ujuwi juwa sasa!
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wanawake wamewakosea nini?

  Wama mama zenu jamani wamewabeba miezi tisa, wake zenu wamewabebea mimba miezi 9 na kuzaa kwa uchungu . . .

  Kama hukufanya chaguo jema wakati unaoa au kwenye uchaguzi wa mwenza wako msihukumu wote!

  Kuna kamsemo "behind every successful man, there is a woman. . ."
   
 12. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Ujinga ni ujinga hata akiutenda baba/mama yako. Defn ya ujinga is not dependant on who does the ujinga but rather ujinga wenyewe
   
 13. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo unamanaanisha nini? hata mama zetu ni wajinga?
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Maisha yangu yote mwanamke simwamini hata siku moja
   
 15. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Umetendwa? Pole sana. Nadhani sio wote.
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  unakosea sana ondoa hayo mawazo utafanikiwa......................
   
 17. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  never never trust a woman!
   
 18. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja asilimia mia!Si wakuamini kwa aslimia mia hawa!
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mm ni msichana ila nakuunga miguu na mikono ........... umenena ukweli mtupu
   
 20. bulldoza

  bulldoza Senior Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni upimbi nyie watu ....mama yako alikua halali usiku wakati baba yako anaspend na vimada ..dada zako walichubuka vidole kwa kufua kinyesi chako ...bila haya leo mnageneroliz eti wanawake wanaleta umaskini unajua ni kiasi gani mama yako alilima vibarua hadi wewe ukafikia hapo? tumie vichwa vyenu nyie wote mmezaliwa na mwanamke mmekaa kwenye tumbo zao for 9 months kwani huyo baba yako hakuwa na tumbo????upumbavu wako na ujinga wako unaanza kutafuta pa kujifariji kwani unashikiwa bastola?si unatoa mwenyewe kwa ulofa wako alaaaaa?
   
Loading...