Shirika la Afya: Kuwa kapera ni sawa na ulemavu

Shirika la Afya: Kuwa kapera ni sawa na ulemavu

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
540
Hatimae shirika la Afya Duniani lathibitisha ramsini, kwamba kuwa kapera ni sawa na ulemavu

Mnamo Oktoba 2016 ilitangazwa na viongozi wa shirika la afya duniani wao wenyewe kwamba kutokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni aina ya ulemavu. Tangazo hilo lenye utata kutoka kwa WHO linasema kwamba wanawake na wanaume ambao wanapenda kuwa kwenye mahusiano na kuwa na familia zao lakini wanashindwa kupata wenza wanaonekana kuwa ni walemavu.

Vichwa vya habari kuhusu suala hili viliwashtua watu wengi sana wasio na wenza duniani.

===============================================

On October 2016, it was announced by the WHO(World Health Organization ) officials themselves that being single is a disability. The controversial announcement by WHO says that single men and women who aspire to have their own families and offspring but are unable to find partners are considered disabled. The headlines regarding the new label shocked millions of lonely souls around the globe.

WHO is very firm in their stand that every person in living in the world have the right to reproduce. Unfortunately some people whether they are homosexual or heterosexual are unable or unlucky to find their desired partners. The new guidelines set by WHO stressed out that the inability to find partners can be equated to infertility!

The new announcement attracted legions of detractors. Most of them point out that WHO should only care for medical concerns rather than personal choices. Yes it’s true, some people are single by choice, or single because they are unable to have partners. Fortunately the WHO’s standards are not yet ratified for worldwide imposition.



It’s Official: Being Single Is Now A Disability, WHO Confirmed

Mungu Ni Mwema
 
Hao hawajasoma sosholojia ya maendeleo ya Afrika.

mafisadi hayana rangi
 
Dah aiseee! Mlemavu mimi [emoji275][emoji275][emoji275]
 
Back
Top Bottom