Habari
Kuna video moja inayo-trend sasa inayoonyesha muda ambapo wanaapa. Video hiyo inaonyesha wakati wanaapa nanukuu ..."for richer for poor" na yule bibi harusi wakati wa kurudia akasema...
Yamezuka mambo mbali mbali yanayopelekea kuhatarisha uwepo wa marinda kwa vijana wengi, hasa linapokuja swala la kutaka maisha mazuri kinyume na uwezo wao, au wengine kupenda kitoka kupelekea...
Wanawake maumbile yao kabla ya kukutana na mwanaume yeyote huwa yanatosha vyema na kuridhishwa na mwanaume wa awali (aliyembikiri)
Hii ni hekima kubwa ya mola wetu mlezi juu ya kuharamisha zinaa...
Kuna denti wa chuo fulani jijini Dar (jina kapuni) tulikutana wakati anaenda chuo na mimi naenda kazini nikampa lift hadi chuoni kwao nikachukua namba ya simu tukawa tunawasiliana.
Siku ya nane...
naitwa cassian toka ifakara moro
habar natafuta mwanamke wa kumuoa. awe mrefu mnene kias awe katika mikoa ya morogoro.iringa njombe na ruvuma.
unaweza nipata kwa namba 0755666795
Kuna dada mmoja huyo ni kungwi ,na akitaka kufunda lazima alale na mume wa bibi harusi ili amfundishe bibi harusi namna ya kutiana na kumridhisha mumewe wakiwa wanatiana.
Sasa huyu kungwi K yake...
Habari tena wana jf,
Narudi kwa Mara nyingine Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa serikalini mweups,mrefu, mkristo
Naitaji mchumba awe mrefu portable sio mnene sana mcha Mungu ,mkristo
Aliye...
Habari zenu wakubwa sana!
Ninae mdogo wangu wa kiume yupo kwenye uchumba kwa muda mrefu kidogo..
Huyu mdogo wangu sio wa familia yetu, bali kutokana na ukaribu wetu na ni rafiki wa mdogo wangu...
Kabla ya dini za kikristo kuingia Africa, mababu zetu walikuwa na imani zao za Kiafrica na ziliheshimika. Mwanaume aliweza kuoa mke zaidi ya mmoja, akawajengea maboma na kuhudumia watoto wote...
Hivi huwa mnapatwa na feeling gani pale unapomuona mtu mwingine akimwadhibu au kumchapa mwanao uliemzaa kwa tumbo lako kabisa?
naona wengi mnachukia na kukereka haswa.
Tena mtoto kafanya kosa la...
Habari zenu,
Kila nikijaribu kuachana na mpenzi wangu inakuwa ni ngumu sijui tatizo ni nini kuachana kwangu mi na yeye kutokana na vitabia vya ajabu yani kwanza ataanza kunisumbua kwenye simu...
Habari za muda huu wadau wa JF,
Leo napenda nitoe somo kidogo juu ya namna ya kufanya Ndoa yako iwe imara na yenye mafanikio.
Somo hili litatuhusu sote, tulio kwenye Ndoa na tusio kwenye Ndoa...
Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi mmoja wakati wote ni yenye changamoto sana kwa mzazi mwenyewe na hata kwa watoto. Hapa namaanisha malezi ya baba peke yake au ya mama peke yake “single...
Habari wanajamvi wote...
nimetokea kumpenda binti ambaye niko naye chuo kimoja ,nikamueleza ukweli wangu akanijibu "hanipendi" na "haitawezekana" yeye kuwa na mimi kwa sababu ana mtu wake...
Habari wana jukwaa pendwa la jf..
Habari za usiku huu tulivu ...
Nilitamani mda mwingi sana kujiunga na hili jukwaa lakini nikawa naishia kusoma tuu wala sikuwa member kuanzia miaka miwili nyuma...
Naomba ufafanuzi toka kwa watu wazima wenzangu..
Nina mke ananipa haki yangu ya ndoa mara tatu kwa wiki...lakini nashangaa pamoja na kupewa yote lately siridhiki na mwanamke mmoja maana nakuwa...
HATABIRIKI
Siyo watu wakutabirika, ni watu wenye hisia za kubadilika badilika, mara muda huu ana furaha na kuonesha mapenzi, mara ghafla anakasirika na kutaka kuadhibu mtu.
MKATILI
Ni wenye tabia...
Unakuta umekutana na mwanaume kama mara mbili hivi, mkikutana mara ya tatu anakupeleka gheto kwake, mko peke yenu, hapo ataanza kukushika shika na mwishoni ataomba game. Ukimwambia mkapime kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.