Niaje wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada kwenu ninyi dada zangu mnaopiga picha za uchi huwa mnafikiria nini baada ya kupiga hizo picha yani nyie huwa mnaangalia leo tu kesho huwa hamuioni...
"Enyi wanaume Ishini na wake zenu kwa akili" Mungu alikuwa anajua anachosema,kama huna akili mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "women are so complicated". Wanawake huwa...
JE NI AINA GANI YA MAHUSIANO YA KIMAPENZI UKO NA MPENZI WAKO?
Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenzi ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika...
Sina kabisa ujasiri wa kutongoza wanawake japo nawatamani sana sijui kama ni tatizo kubwa sana na linasababishwa na nini wataalamu wa mambo ya kisaikolojia mnaweza kuchangia kunipa mawazo ya nini...
Jana nilisoma kwenye mtandao fulani wasichana wamekuwa wakipata magonjwa ya fangasi na mengineyo kwa sababu ya kunyonya UUME usiotahiriwa
Wakitoa shuhuda zao, wengine wamedai wakimaliza kusex...
Habarini ndugu zangu wana Jf. Twende moja kwa moja kwenye mada.
Katika pilikapilika za kutafuta maisha, kama mnavyojua usafiri wa Dar kero tupu, niko kituo cha Mbagala rang3 gafla gari ya...
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi,
Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu.
Umri wangu : 28
Elimu: Bachelor degree...
Kumekuwa na matumizi mabaya sana ya simu za mikononi hasa hizi smart phone kwa sasa. Unakuta mke na mume wamerudi kazini jioni baada ya kula wakapanda kitandani kila mtu yupo busy sana simu...
Nina mke wangu ambae naishi nae huu mwaka wa nne sasa hatujawahi kugombana ule ugomvi mkubwa na wala sijawahi kumfumania. Kuanzia mwezi Disemba mwaka jana nikaona kama amekuwa tofauti kidogo...
Ndugu zangu wapendwa.Habarini kaka na dada zangu;
Leo nimewiwa kushirikishana na ninyi juu ya nafasi yako katika familia yako kutokana na nafasi uliyozaliwa.Hapa namaanisha uzaliwa wa kwanza,wa...
Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke.
Sifa;
-Ajiamini,
-Umri 28-35,
-Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha.
-Awe amejiajiri au ameajiliwa...
Habari za muda huu waungwana wa jf
Niende straight kwenye mada...mimi ni kijana nnampenzi wangu(ke) ambaye nnampenda sana lakini tatizo anatoa harufu mbaya ukeni, kitu ambacho kinanifanya nikose...
Huyu shost ni mwalimu wa primary, alifunga ndoa na mpenzi wake wa tangu secondary, walipomaliza form four A, mmoja alikwenda teaching mwingine alikwenda chuo cha Polisi Moshi. Baada ya kumaliza...
Upo katika mahusiano kwa ajili ya nini? Je upo tu kwa kuwa ni fasheni mtaani au kwa rafiki zako!? Au je upo kwa ajili ya kujiongezea uzoefu wa ndoa!? But unafaidika nini katika hayo mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.