Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeiona Mahala nikaona,Tujifunze wote MALKIA WA NGUVU wa JF By: A Muslim Sister Source: MuslimVillage.com “Second wife! The words reverberated through my brain. Why? Am I not good enough...
9 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu kwema, Katika harakati zangu maisha sina vikubwa sana kiasi tu japo nafight bado nijenge na kuwa na kwangu biashara na kadhalika nina kaplot mjini, tayari sasa nina mpenzi tuna kama mwaka...
8 Reactions
185 Replies
16K Views
hey guys Mm actually ni kijana in my early twenties, na huwa naji-consider kama mtu mzima, lakini mm nashangaa kuna baadhi ya watu wazima huwa wananiambiaga kuwa bado mimi ni mtoto kuna mambo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hellow wanaJF, Leo kuna huyu dada rafiki yangu sana yaani ni kama mwandani wangu tumeshibana sana tuu. Issue iko hivi huyu bibi ana bwana wake wote ni wafanyakazi wa umma ni mwanamke mwenye upeo...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Wasalaam wana MMU, Najisikia kushare nanyi story ya mahusiano yangu maana ina mafunzo mengi ndani yake. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada; Mimi ni mwanamke niliyelelewa kwenye...
93 Reactions
241 Replies
41K Views
Wakuu habari za kushinda, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza; Ningependa tushee kwa pamoja mada husika. Bila kigugumizi mi binafsi nilishawahi kutana na wanawake watatu wenye bikra. Wa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndugu zangu,Kaka na dada zangu, Wanaume,katika ulimwengu wa roho wao ni watoaji na wanawake ni wapokeaji.Ndio maana wakristo wanaambiwa wanaume muwapende wake zenu..na wanawake muwatii waume...
24 Reactions
102 Replies
14K Views
Wanajamvi natumai mu-wazima, niende kwenye mada Wakuu kuna binti tulianzisha mahusiano toka tuko wadogo hivi, kipimd flan cha wakati tukapotezana baada ya mimi kuwa mbali kimasomo High school na...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Mambo... Kilichonileta hapa ni kuleta ushauri kwa madada zangu waliopo JF..hiko hivi.. Kwanini wewe hauna bikra... Kwanini wewe ni single mam.... Kwanini wewe haolewei... Age yako above...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
1. Kama anazungumzia kuhusu kujamiiana uwapo naye Kama anaongea kwa kujiamini na ana uhuru wa kutaja mambo mbalimbali yanayohusu kujamiiana kama mkao anaofurahia zaidi wakati wa kujamiiana, vifaa...
0 Reactions
13 Replies
74K Views
Wakuu nyumba yangu ni chungu sana kama umeona uzi wangu wa awali nilieleza juu ya wife kukuta bikini ya mdogo wake chumbani kwetu sasa niwape na mkasa wa beki tatu ambao ulitokea wiki mbili kabla...
7 Reactions
54 Replies
8K Views
Nimabahatika kupitia walio wengi (sijikwazi). Nilichokigundua ni kwamba wadada wa siku hizi huwa hawavai shanga kabisa.Yaani utamaduni wa kuvaa shanga kwao umetoweka kabisa. Nashindwa kujua...
1 Reactions
71 Replies
25K Views
Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kutafuta mchumba mtandaoni, je huko aliko hakuna/hakutani na watu? Ila nilichokuja kugundua wengi wao ni wale ambao walishindwa kutumia fursa...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau habari za Leo, natumai wote mko vizuri, Nilileta uzi uliosema; Mke wangu kalipendea nini hili jitu? Li jamaa hili ambalo hili binamu yangu ambalo lilitoka mkoani na kufikia kwangu lilikuja...
15 Reactions
64 Replies
6K Views
Naomben mnishauri jaman kwa mahusiano haya niendelee kukaba au niachie ngazi Iko hv Mi Nina 30yrs. ....mpenz wangu ana 31yrs...tupo katika uhusiano ni miez Michache tu tangu tuwe na...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Habar Zenu Kuna katabia kachafu sikapeeendi Nakerekwa sana na yule mtu ambaye anajitia anamoooooootoooooo wa kumuacha mwenzake tena hapo ukiangalia kosa halifananii kupewa adhabu hiyo Ukipita...
14 Reactions
99 Replies
7K Views
NB hii story nmecopy mahali COPY AND PASTE mimi ni kijana nimehamia hapa niktokea mkoani ni kama miezi miwili sasa mimi na mama mwenye nyumba tunaishi pamoja nyumba moja ina pande mbili kwahiyo...
3 Reactions
100 Replies
8K Views
Ni mfanyakazi mwenzangu tumeenda nchi jirani kwa semina ya siku 5.Tulivyofika tu wakati tunacheki hotel ambayo ni nzuri bei kidogo ipo juu ila kampuni wametupa pesa za kutosha sana,Sasa wakati...
30 Reactions
488 Replies
90K Views
Back
Top Bottom