Muda wangu wa kuoa sasa umefika

Muheza 1

Senior Member
Aug 2, 2017
133
152
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi,

Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu.

Umri wangu : 28
Elimu: Bachelor degree
Dini : Roman Catholic
Kazi : Nimejiajiri Kariakoo Dar
Ni mrefu maji ya kunde.

Mke anayehitajika
Umri :18 -28
Elimu :Diploma -degree
Dini :yoyote
Kazi :ameajiriwa au amejiari
Awe mrefu na mweupe
Asiwe na mtoto.

Please niko serious na kama huna vigezo hivyo usijisumbue kunitafuta.

Kwa aliye tayari anakaribishwa tuyajenge na Mungu akipenda ifuatie ndoa.

Jumapili njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi.

Open urself Mzee ,, nikweli unahitaji mwanamke kutoka dini yoyote ?.
 
vlad... dini sio ishu ujue!mie nilikua pure sabato na nikaolewa rc! imagne mafunzo ya sabato uende rc vitu 2 tofautiii! dini mbwembwe tu nakuambia kma kuna upendo wa dhat
Mmhhh maybe ila bana , I assure you hii kitu huwa ndo chanzo cha ndoa kuvunjika ,,wewe shukuru kupata mwelewa.

Ivi unajua kuna muda utafika huyu mkuu atamlazimisha mkewe either asiende kusali/kuswali sababu tu jamaa zake wamemwambia raha ya ndoa nikusali pamoja ???
 
Huenda kila ntu na ntu!mie nikikumbuka nyimo za sabato naenda na rc naenda mdg mdg! sijui lakin! mie hata [HASHTAG]#budhha[/HASHTAG] ningeolewa nae km nampenda!huwa sion kigezo farakanishi hapo
 
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi.

Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu.

Umri wangu : 28
Elimu: Bachelor degree
Dini : Roman Catholic
Kazi : Nimejiajiri Kariakoo Dar
Ni mrefu maji ya kunde.

Mke anayehitajika
Umri :18 -28
Elimu :Diploma -degree
Dini :yoyote
Kazi :ameajiriwa au amejiari
Awe mrefu na mweupe
Asiwe na mtoto.

Please niko serious na kama huna vigezo hivyo usijisumbue kunitafuta.

Kwa aliye tayari anakaribishwa tuyajenge na Mungu akipenda ifuatie ndoa.

Jumapili njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

sikushauri kitu ktk hilo chamoto nimekiona 2006 - 2017 .sasa hivi nimezaliwa upya
 
Mimi nilijua unataka kutupa kadi za michango kumbe unatafuta mke wa kuoa. Wewe bado muda wako wa kuoa haujafika mpaka utakapompata mke mimi bado natafuta tangu 2010 sijapata wakija wengi wengine nigawie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unaoa kwakuwa wakati umefika,,,, okeeeee kila la kheri, binafsi nkipanga na kuweka malengo nami ntaoa.
 
Mwanaume unatangaza soko. Miaka 28 bado hujaandaa mchumba unasubiri wajilete?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom