mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,127
Jana nilisoma kwenye mtandao fulani wasichana wamekuwa wakipata magonjwa ya fangasi na mengineyo kwa sababu ya kunyonya UUME usiotahiriwa
Wakitoa shuhuda zao, wengine wamedai wakimaliza kusex hubaki na harufu mbaya sana inayosababishwa na GOVI (uncircumcised penis), na baadhi wamepata uambukizo. Pia wapo waliosema wenzi wao wanatoa harufu inayowakera sana, ambayo husabaishwa na GOVI ila wanaogopa kuwaambia maana watawapiga chini.
SASA NASEMA YANGU:
Ni kweli GOVI huwa linatoa harufu mbaya sana hasa kama mhusika hasafishi mara kwa mara. Ndani ya GOVI huwa kunakuwa na uchafu uliogandia wa rangi nyeupe, hivyo mwanume mwenye GOVI lazima avute ngozi kwa nyuma ili aweze kuosha na kuondoa huo mgandio wenye harufu mbaya.
MASWALI:

- Kuna ulazima wowote wa dada kunyonya uume wenye GOVI?
- Huoni kinyaa kufanya hivyo?
- Kwa nini usimshauri aende kutoa hilo GOVI ili muweze kufanya mambo kwa usafi?
- Inakuwaje mtu mzima anafuga GOVI? ( Kule kijijini kwetu huwezi kuoa mke kama una GOVI, na wala huwezi kumkuta mtu mzima ana GOVI - watu hukata magovi yao bado wadogo kabisa)
- We dada unasubiri nini kumnyima huyo mwenzi wako mwenye GOVI ili apate msukumo wa kulitoa?:crying:
- Utavumilia harufu mbaya na mateso ya maambukizo ya mara kwa mara mpaka lini?