Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,280
Habarini ndugu zangu wana Jf. Twende moja kwa moja kwenye mada.
Katika pilikapilika za kutafuta maisha, kama mnavyojua usafiri wa Dar kero tupu, niko kituo cha Mbagala rang3 gafla gari ya Ubungo hiyo inaingia tukaanza kurukiana kama kawaida yetu kuwahi siti, gafla mtoto mrembo yuko mbele yangu akanipush ili yey apande nikaona ngoja nimwache atangulie kwanza.
Alipoingia akawahi kwenye siti ya dirishani na kulikuwa hakuna mtu nami nikafika fasta bila kuchelewa nikaa pamoja nae hapohapo kwenye siti iliyobaki ilikuwa ya watu 2. Nikamsalimia akavuga ajasikia, nami nikajikausha mara gari ikaanza safari, kimya kila mmoja anaongea na simu yake tu. Tumefika pale Tazara foleni hiyo.
Sasa konda akatufikia kutoa nauli, nikaingia mfukoni nikatoa waleti imeshiba nyekundu tupu, nikachomoa 10 nikampa koda akaniridishia cheji. Nae akatoe yake safari ikaendelea. Kumbe wakati natoa waleti akatupia macho.
Gafla kaanza mwenyew kaka vipi unaitwa nani....... Ok unakwenda........ Unafanya kazi gani......... Nami nikamuuliza akasema nasoma Mlimani mwaka 2 political science, nakaa pale mabibo hostel. Nikamuuliza na huku Mbagala umefuta nini sasa asubuh hii, akasema hapa Mbagala kuna wazazi wangu kila weekend nakuja kuwasalimia. Basi poa safari ikaendelea tukafika mabibo mtoto kaniomba namba nikampa, kashuka mi nikaendelea na safari yangu.
Niko kwenye shughuli zangu nikaona msg inaingia ya whatsap, mambo nikamjibu poa
...samhan umeo nikajibu bado, vip girlfriend sina kwanini.. ... ...mara anasema hata mi sina nikamwambia bac sawa, nikachomekea vipi tukiwa pamoja. Nilishangaa jibu lake fasta kajibu hata mi nimekupenda....... ....
Sasa jioni nimefika kwangu nimetulia na mke wangu gafla msg bahat mbaya mke wangu alikuwa na sim yangu anaperuzi akanip sim akasema kuna ujumbe
Kutazama nakuta ameandika Mambo vipi baby wangu, na sifa nyinginying sana za kipuuzi mwisho wa sentensi anasema baby samahan ATM yangu imemezwa kwa hiyo hapa sina pesa ya kula naomba unisaidie 10000 tu, ili nikapate cha jioni. Alafu kesho ndio nifuatilie kadi yangu.
Nilibaki kunguna tu my wife akauliza vipi, nikatulia. Sikumjibu chochote nilinyamaza mpaka sasa anapiga sim sipokei wala sijibu sms zake. Haw mademu wa sasa nishadaaaa.