Hichi kitu huwa najiuliza nakosa jibu nimeona nilete kwenu mnipe mawazo yenu na nyinyi maana kuna wanawake kama watatu niwewahi sikia wakisema kuhusu ila na kuniambia nisijaribu, means mwanamke...
Nimeona hili jambo niweze kuwashirikisha ndugu zangu humu ndani maana limekuwa likinipa shida kiasi flani.
Mimi nimeoa mwaka wa 5 huu nina watoto wawili naishi na mke wangu. Shida kuwa imekuwa...
Habar wanajukwaa natumia ni wazima wa afya tele.
Nilimchukua mtoto wa dada yangu kutoka kijijin kuja mjini kumsaidia kutafuta kazi baada ya kumaliza elimu yake ya kidato cha nne nilikaane nyumbani...
Salaam wandugu nmechoka kuwa lonely na nnaona huu ni muda muafaka wa mm kuwa na familia so natafuta mwanaume alie serious na alie na uhitaji kama wangu
-Nna 28yrs
-Black in colour
-Ni mkristo...
Naitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25.
Jamani nipo serious sihitaji mzaha.
Sent using Jamii Forums...
Moja ya tatizo la kawaida ambalo watu huhangaika nalo kwenye mahusiano ni jinsi ya kujielezea upendo Walionao kwa watu wanaowapenda.
Wengi wa watu hupenda mtu , lakini jinsi ya kujieleza ili...
Heshima yenu wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, NATAFUTA RAFIKI WA KIKE lengo aje kuwa mke baadae, awe na sifa hizi.
■understanding
■knowledgable
■umri 23-27years
■Mkristo...
Wandugu nimekuja humu kuomba ushauri kwa hili swala linalonisumbua.
Ni muda sasa umepita tangu kuachana na mume wangu nililokuwa naishi nalo baada ya mzozo wa hapa na pale.
Wazazi wakatuita...
Nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa sana hapa Tanzania na ulimwenguni kwa ujumla
Lakini kabla ya jugular huko nataka nianze chini kwanza kwa kutengeneza msingi mzuri
Nime plan kuanzisha biashara...
kumezuka mtindo ambao kwa kweli wanaume wengi wameupenda na wanawake pia kushabikia wa wanaume kupiga mawe kichwani ( yaani kunyoa kipara au kupiga kipara) asilimia kubwa ya wanawake wanasema...
Mwanaume ambaye ni kama google vile,ukimuuliza habari zilizomake headlines duniani siku hiyo anajua,ukimpeleka kwenye siasa anajua,ukimpelekea kwenye mambo ya mpira anajua, mambo ya spiritual...
Wadau wa mambo haya, I hope tuko sawa,
Naomba tupime hili neno udhaifu wa kimapenzi kwa wapendanao au wanaoviziana kuingia kwenye mapenzi.
Je, upo udhaifu kwenye mapenzi au ni upendo tu...
Leo siku yangu ilianza vyema na inaelekea kuisha vyema pale ninapokielekea kitanda tayari kwa kujipumzisha,pamoja na yote tunayoyapitia katika maisha tusisahau kuwa watu wenye Iman.
Mtume...
Hii tabia ya kuparamiana kama gogo la mnazi mnaiona ni nzuri? Hata kama mmetutolea mahari na kuoa ndoa halali haimaanishi tusiongee na kidogo. Mtu ametoka huko wengine na mapombe yake akifika...
[N]Naileta kama nilivyoipata ili kuwakumbusha wanaume wenye tabia za kuwanyanyasa wake zao kuwa hawana nguvu kuliko MUNGU na ipo siku watafika huko.[/B]
"Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu...
Habari zenu wakubwa sana!
Nimejaribu kumuangalia mwanamke katika maisha yake ya kila siku.. Lakini kuna mambo ambayo nashindwa kumuelewa...
*Mwanamke anaweza tongozwa club na Mwanaume asiyemjua...
Mnamo miaka 5 iliyopita nlikuwa mfanyakazi kwenye kampuni Fulani kule arusha, ilitokea nikajikuta naangukia kwenye mtego wa kimapenz na binti mmoja ambae alinitega kisawa sawa.
Wiki mbili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.