Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Habari zenu wadau wa JF.?

Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta Mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.

Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa.!!

Acheni ujinga oleweni.!
Vitu vingine huwa vinaenda na bahati zao, unawezataka kuolewa ukakuta huonekani mengine ni kumuachia Mungu muda ukifika ataamua. Unaweza olewa hata ukiwa na miaka 70 au zaidi, mbona Mama Machelle aliolewa?.
 
Waoaji wamekwisha
Mtoa mada katoa ushauri juuu ya wadada kuolewa nikweli lakin si kwa wadada tuu wapo wanaume nao mpaka miaka 40 ndio anaoa hivyo tusiwalaumu tuuu dada zetu bali nasi tujitafakari muda ubapo fika tuoe kwa huyu anae sema waoaji wameisha hapana kila leo utakuta Tangazo natafuta mke tena humu humu sasa hawa wanatoka wapi kama wameisha tujalibu kutoa ushaur na tusipotoshe umma asant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wanaolalamika kuwa hatuolewi ni nyie wanaume. Waoaji ni nyie sasa kama wadada hawaolewi basi waoaji hakuna
 
Hiyo kwa upande flan kweli lakin kumbuka binadamu tunamitazamo tofauti ww unavyo ona na mm tunatofautiana katika maamuz na kila mmoja anvutia kamba sehemu yake labda niseme kwamba kwa kizazi cha leo tumesahau misingi ya uoaji na uolewaji hivyo kuingiza lawama na fezea katika akili ya maamuzi ya ndoa ndio maana wote me and ke tunakaa mda mrefu bila kuoa na kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau wa JF.?

Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta Mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.

Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa.!!

Acheni ujinga oleweni.!
Tafta wadada ambao bado hawajaolewa hapa nchini alafu solution ya kuwapatia waoe wote wawe wakee zako, ungekua umesolve tatizo.
 
Hiyo kwa upande flan kweli lakin kumbuka binadamu tunamitazamo tofauti ww unavyo ona na mm tunatofautiana katika maamuz na kila mmoja anvutia kamba sehemu yake labda niseme kwamba kwa kizazi cha leo tumesahau misingi ya uoaji na uolewaji hivyo kuingiza lawama na fezea katika akili ya maamuzi ya ndoa ndio maana wote me and ke tunakaa mda mrefu bila kuoa na kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ni pale unapokuwa tayari umempata umpendae na tayari umefanya maamuzi ya kuoa au kuolewa. Mbona sasa mnakuwa kama mnawalazimisha wanawake waolewe?
Mwanaume ndio mtangaza ndoa, how come lawama zinaenda kwa mwanamke wkt labda hakuna aliyetangaza ndoa kwake?
 
Tatizo wanaolalamika kuwa hatuolewi ni nyie wanaume. Waoaji ni nyie sasa kama wadada hawaolewi basi waoaji hakuna
Mtoa mada alikua anazungumzia kwa ujumla kwamba wadada wengi awaolewi kwa utafuti wake lakin kunakitu tunasema maamuz ya moyo huwenda wadada hawa bado hawajaweka maamuz ya kuolewa lakin kwa upande wenu na mlivyo kuna mambo ukiyangoja yanweza kukuchukulia muda mrefu usiolewe mfano moyo unataka uolewe na mtu mweupe,mrefu, jiulize je mtu wa namna hiyo yupo kwa ajir yako kumpata shida so ukingoja utakaa mpaka ghara la nyumban litaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom