Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 657
- 955
Sina kabisa ujasiri wa kutongoza wanawake japo nawatamani sana sijui kama ni tatizo kubwa sana na linasababishwa na nini wataalamu wa mambo ya kisaikolojia mnaweza kuchangia kunipa mawazo ya nini cha kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app