Mbona kama wamelazimishwa
Nilifikiri ni wewe na yule wakuparamiaHupati vyote mkuu binti bado yuko sealed huyo.
Hupati vyote mkuu binti bado yuko sealed huyo.
Hahahah....ili utekelezaji uende sambamba na kauli Lazima Kumshirikisha mungu kwa kiasi kikubwa kwa sababu changamoto ni nyingi na kingine watu kabla wa kuingia kwenye ndoa tunakuwa na mategemeo makubwa sana na pindi tukishaingia na kugundua kwamba yale matagemeo ni mapichapicha uvumilivu unakwisha na ndio hapo vurugu na dharau zinaanza kuchukua mkondo wake.