Nina mke wangu ambae naishi nae huu mwaka wa nne sasa hatujawahi kugombana ule ugomvi mkubwa na wala sijawahi kumfumania. Kuanzia mwezi Disemba mwaka jana nikaona kama amekuwa tofauti kidogo.
Mara nyingi nikiwa nyumbani maana me nafanya kazi za shift, anaweka simu yake silent. Nikaweka call recorder kwenye simu yake pasipo yeye kujua. Nimekaa miezi mitatu bila kuangalia mtego wangu hadi juzi nilipocheki nimekuta usaliti mkubwa sana anaufanya.
Ana wanaume wanne tofauti watu wazima sana na wote inaonekana kashafanya nao.
Nikamwonesha uchafu uwake akalia sana akaomba nimsamehe. Kwa kweli mpaka hapa nina hasira na ukizingatia anafanya yote hayo akiwa na mimba ambayo sasa nina mashaka itakuwa siyo yangu.
Wana MMU naombeni mawazo yenu juu ya hili janga ninalopitia jamani.
MREJESHO
LEO trh 17 agosti nimechana na mke wangu rasmi.
Wakuu nilishauriwa na watu wengi nivumilie hadi ajifungue. Kajifungua na kwa kweli mtoto anafanana na mimi so ni wangu.
Tumekaa vizuri mpaka mwezi uliopita nilipopokea simu toka kwa MWANAUME akidai mtoto ni wake. Me sikumjibu kitu nilipotezea tu.
Sasa jana asubuh wakati nimelala nilisikia akiongea na simu lakini kwa kutojiamini. Nikamwomba simu yake akanipa. Nimekuta kumbe bado anawasiliana na wale wanaume na mmoja wao kamtumia hela. Uvumilivu umenishinda nimemfukuza leo asubuhi kama mtoto tutasaidiana kulea. Wanawake ni viumbe vya hovyo sana.
Mlioa kwa amani muombeni MUNGU SANA