Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Upo katika mahusiano kwa ajili ya nini? Je upo tu kwa kuwa ni fasheni mtaani au kwa rafiki zako!? Au je upo kwa ajili ya kujiongezea uzoefu wa ndoa!? But unafaidika nini katika hayo mahusiano!? Yanakujenga kiroho au yanabomoa!? Kwanini upo katika hayo mahusiano kama nafsi yako inaangamia!? Vision yako na ya mwenza wako iko wapi!? Ni virahisi kusifia na kutetea uovu kuliko kukubali ukweli. Chagua njia sahihi.