Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mchumba na anaish kwao nimejtambulisha kwao ila mama mkwe ni kikwazo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe. Wewe wajali sana wale rafiki zake piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa kadha. Washirikishe...
77 Reactions
187 Replies
16K Views
Kwa wanaume ni kama jambo fulani la fahari kumtoa msichana usichana wake na kujihisi kwamba huenda anapendwa au atapendwa sana na huyo binti! au pia wakati mwingine huhisi tiyari ameshauteka moyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilikuwa na boyfriend wangu, tulipendana sana lakini ikatokea mimi nikahama mkoa ule ambao yeye alikuwa anafanyia kazi. Kwa ahadi ya kukutana kwani muda si mrefu yeye anaanza likizo. Basi nami...
5 Reactions
210 Replies
17K Views
1. Miaka michache kidogo iliyopita mwanamke kuzaa nje ya ndoa (bila ndoa) ilionekana kichefuchefu.. Yaan utadharauliwa na kila mtu lakini sikuhizi tunashangilia na kupiga makofi.. Tunatamani kuwa...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Bila hata kwenda mbali angalia post hapa 1.USIMTAMBULISHE MKEO UTAGONGEWA 2.Usioe mwanamke mzuri 3.Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa 4.Usioe mwanamke aliekuzidi kipato 5.Usioe mchaga/muhaya...
11 Reactions
177 Replies
14K Views
ila kukataa benzi ni kipaji toka utotoni duh
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Huyu dada namuaminia anajua kusaka pesa aisee japo hii project kaipa jina la core ya project nzima ukweli dyudyu imekua issue jamani wengine wanapata kwa kalenda...
1 Reactions
107 Replies
11K Views
Unaitwa nani _Naitwa Babuuu Kwenu mko wangap _watatu We wa ngapi _last but mjanja Unampenda nani Zaid Kat ya wazazi wako _mama Unasoma wapi Nasubiria kujoin chuo Unapenda chakula gan...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukipata mtu anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni, mpende pia na kumuonesha mapenzi ya dhati bila kumhukumu kutokana na historia yake ya nyuma kuwa alikuwa na nani na alifanya nini. Huenda alikuwa...
1 Reactions
4 Replies
818 Views
Nimekuwa msomaji wa jamii forum kwa miezi 6 sasa. Naishi nje, nimekuja likizo ya miezi 2 nakaribia kuondoka; nimejifunza sana kuhusu mahusiano hapa jamii forums na pia in real life mtaani...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaanza anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anataka bafuni na taulo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu mwanachama wa JF Hakuna haja ya kupoteza muda wacha niende moja kwa moja kwenye mada. Tangu Anko Magu anitumbue sio siri nilikimbilia kwenye bodaboda na kijiwe changu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Unamkuta kabisa mwanaume anatoka bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini nimfulie boxer na ma kufuli yenu?
7 Reactions
231 Replies
17K Views
Ndugu wapendwa natumaini mu wazima wote Kuna vijitabia na sanasana majibu wanayopeana vinaweza kuwakosanisha na hata kuwatenganisha wanandoa,hebu tizama mfano huu:- MKE : mbona unanukia pafyumu...
1 Reactions
2 Replies
938 Views
Habarini wapendwa Kwa wale wanaume wanaopenda kuhongahonga wanawake (iwapo pia wanawake wapo wenye tabia hiyo kaa vile mashuga mami) Mnapokuwa mnahonga naomba mkumbuke yafuatayo : __elfu kumi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mtu unajua kabisa kuwa unaenda katika Harusi Ukumbini ukiongozana na Mkeo / Demu wako halafu unajua fika kwamba kule pia utakutana na Wahudhuriaji wengi ' Mabachela ' waliotukuka kama GENTAMYCINE...
5 Reactions
98 Replies
10K Views
Juzi kati nilijikuta kwenye kampani ya watu wa rangi mchanganyiko. Kulikuwepo na wazungu wachache, wahindi kadhaa, wasomali, waarabu na sisi waafrika wawili watatu. Katika kupiga story tofauti...
10 Reactions
186 Replies
13K Views
"So Much In Love" As we stroll along together Holding hands walking all along So in love are we two That we don't know what to do So in love (so in love) In a world of our own (so in love) And as...
0 Reactions
7 Replies
605 Views
Back
Top Bottom