Hubble
Member
- Aug 25, 2017
- 50
- 80
Nimekuwa msomaji wa jamii forum kwa miezi 6 sasa. Naishi nje, nimekuja likizo ya miezi 2 nakaribia kuondoka; nimejifunza sana kuhusu mahusiano hapa jamii forums na pia in real life mtaani. Nimejiunga ili kushare.
Wanaume wengi humu kazi ni kujisifia zaidi kuhusu relationships, as if sisi ndo tumeshika mpini. Nilichoona ni gross underestimation ya akili ya wanawake na kutojua uvumilivu wao. Wanawake wanaweza kuvumilia maumivu ya period kila mwezi na maumivu ya kuzaa. Mwanamme ukimsukuma tu anataka kupigana. Uvumilivu wao pia uko kwenye mapenzi.
Mwanamke anaweza kuvumilia mengi ili apate anachokitaka au ajue anachotaka kujua. Tujikite na ndoa. Wanaume tuna suitcase zetu ambazo tunapenda kufit wanawake watarajiwa. Awe hanywi pombe ([emoji736]), mcha Mungu ([emoji736]), haendi club ([emoji736]), havai vimini ([emoji736]), etc; mtu anaona huyu mke. Swali ni je na yeye unafit suitcase yake?! Mrefu au mfupi, una mabega maji wa au madogo; mkono mkubwa au mdogo; mweupe au mweusi?! Au kakukubali sababu anaowapenda huwa wanampitia na kumwacha; na ww ndo king'ang'anizi sababu una blind love!!!
Unamuoa sababu anafit imaginary frame yako, unaamini yeye katulia; ww ni wa pili tu kulala naye... unaogopa hata kumwangalia buttocks sababu anajiheshimu sana (kwa mawazo yako[emoji1][emoji1]), kuwa hayuko kama wengine wale. Hata game unapiga la heshima, afu ukikutana na mchepuko unakuwa freaky sana sababu kule unajiachia. Na mkeo naye anamiss wale wa zamani waliokuwa wanamwona mchepuko walikuwa wanampiga rafu.
Wanaume wengi wameoa wanawake wanaowapenda kwa kiasi kikubwa, Ila kiasi kikubwa kwa wanawake wakishafika 25 years old huolewa na king'ang'anizi. Hii hufanya wanawake wawe cool, calm and collected sababu hajuzimia sana. Kazi ni kuhesabu mazuri na mabaya. Mwanamke aliyekupenda sana haoni makosa sana.
Hapo ndo kulea watoto sio wetu (48% ya walihisi sio wao, DNA imethibitisha hivyo); kutumika kipesa; kujulikana kirahisi ukicheat; ku-cheat-tiwa; kujulikana wapi pa kukupata. Sababu tunaolea TABIA. Inatakiwa kuangalia love, tuachane na imaginary suitcases, wanawake wengi wana foolish age ambayo huwa wanaexplore pia, ingawa sio kwa kiwango cha wanaume. Uliyemwoa, alikuwa mchepuko wa mtu, main chic, second chic wa mtu zamani.
Angalia mabinti na michepuko yako ya miaka 5 iliyopita; si wengi wameolewa. Au unadhani hawa waume wapya mafala!; nao likely wamekuwa ving'ang'anizi afu ukute wewe ndo ulipendwa zaidi. Moral of the story. OA ULIPOPENDWA NA JIACHIAE KWA MKEO. Chances mke sio mtakatifu kama LOVE yako ilivyomtunuku.