Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani wake wenye waume muinuke mkatafute ili ifike sehemu mwanaume akupende kwa akili yako,akuthamini kwa juhudi zako alipiganie penzi lenu kwa nguvu zote maana atajua kukukosa wewe ni kuikosa...
14 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Ni kitambo sijapost hapa jamvini kutokana na ubize wa hapa na pale. sio siri, nimewamiss sana Back to the topic, Tuanzie hapa Wanaume wengi sana tutakubaliana na ukweli kuwa...
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Wanabodi, kuna mrembo mmoja tuko nae kampuni moja, ila idara tofauti ingawa midamida huwa tunakutana canteen au maeneo ya burudani. Kwa njinsi alivyo mrembo, alinidatisha sana nikamua kumutokea...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
kwa leo napenda kuzungumzia swala la kizazi cha leo kukosa maadili ,sio kwamba ni kuiga ni jinsi watoto wanavolelewa kwenye familia watoto wa siku hizi wanafanyiwa kila kitu na beki...
19 Reactions
104 Replies
8K Views
Katika mila ya kimakonde hususani mtoto wa kike, huchezwa ngoma kulingana na umri na ngoma hizi hugawanyika kwa makundi Ngoma ya kwanza 1: ni kwa watoto wa umri wa miaka 5-8...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nilikuwa naskia skia tu mabinti wa kitanga ni noma kwenye mapenzi nikafikir story tu za hapa na pale kumbe kuna ka ukweli. Nimepata kazi huku na nilicho kugundua kutoka kwa hawa mabinti wa...
7 Reactions
72 Replies
16K Views
Siku hizi wanawake wanajifanya wana sauti sana kwa wanaume wao, wana midomo hao!! lakini ni kosa la baadhi ya wanaume kuishi na mwanamke kidhaifu na kizembe zembe. Ni hivi tunawaoa kwa kuwalipia...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kusema kuwa mlemavu si jambo ambalo kila mtu anapenda, ingawa tujue wote tukiwa hai ni kama tu walemavu watarajiwa. Mshukru sana Mungu kwa kuzaliwa mzima ila ujue ni kwa neema tu...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii ni serious na ndicho kinachonitokea sasa hivi; Nina michepuko miwili yote ni wake za watu; Mmoja anakaa jiji lingine nje ya Dar es Salaam. Huyu ana mtoto wa miaka 12 ambaye amemzaa ndani...
5 Reactions
158 Replies
17K Views
Kuna kitu nimejifunza kama huna moyo wa kiume usijarbu kumspy mpenz wako maana utakufa na presha nna mdogo wangu naish nae gheto ana manz wake lkn akawa hamuelew basi nikamshauri kwann...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimevumilia sana mpaka nikatamani jf nisiingie tena ila leo umenifanya nilie kama ile siku nilivyoachwa na boyfriend wangu baada ya wewe kumwambia uliyomwambia. Pamoja na ukorofi wangu Dear ex...
2 Reactions
182 Replies
22K Views
Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye Hadithi ya Mtume wa Allah -rehma za Allah na amani zimshukie- kuwa "zinaa ya jicho ni kuangalia". Imepokewa na Imam Bukhari, Muslim...
16 Reactions
139 Replies
25K Views
Maisha yalikuwa zamani! Sasa ni usanii tu! Enzi zetu "Wahenga na Wahenguliwa" kumpata mtoto wa kike ilikuwa si kazi rahisi! Bila kuwa na utaalam wa kupangilia mistari yako kisawasawa, usingeweza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
A true story; Leo jioni nilikuwa narudi katika kazi zangu ghafula nikaona wanaume wawili wanagombana stendi,nikamukaribia mtu mmoja ili nijue nini kimetokea,nikaambiwa hao ni dereva na kondakta...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Huyu dada ni mzuri kiasi ,kuna kitu nilikipenda kutoka kwake hadi nikawa na imagine big yaani daah she deserves to be my mama yoyo ,nikawa nam treat different na perception zangu zilikua perfect...
15 Reactions
191 Replies
11K Views
Habari za weekend ndugu zangu? Hapa nilipo naandika huu uzi nikiwa mafichoni, kuna single mother nilikua nadate nae, sasa muda sio mrefu asubuhi ya leo kaniletea ujinga flani nikamlamba makofi...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Najua wengi watanipinga ila utafiti niliooufanya ya wadada wengi wanaopenda kuomba sana pesa kupitia wanaume na bila pesa kutoka kwa mwanaume basi hawana muda nae tena basi asilimia kubwa ndio...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Ndugu zangu natarajia kufunga pingu za maisha mwenzi wa 12 na maandalizi ya sendoff ya mama watoto wangu yashaanza...twende kwenye point kama nilivyosema hapo juu ila nataka kufunga hii ndoa bila...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Ni hivi wanawake wengi hudhani kwamba majukumu Yaliyompeleka kwa mume ni kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wanasahau kabisa kuwa lile tendo ndo kiunganishi kikubwa..! Unakuta mwanamke...
7 Reactions
88 Replies
7K Views
Back
Top Bottom