Habari za muda huu marafiki zangu ...nipo mbele yenu kuwasilisha yaliyonitokea leo ..mimi ni msichna wachuo fulani apa tanzania nasomea shahada fulani..ninampenzi wangu apa chuon tupo kweny...
Ni kama wiki tatu zimepita huwa nikitoka ofisini huwa napitia kwenye kagrocery flani hivi mtaani kwangu, ni grocery ambayo ni mpya kitaani kwetu sasa kuna mmama flani hivi mtu mzima ambaye ni...
Katika jitihada zangu za kwenda kujilinda na wale wanaotumia madawa ya kututeka sisi wanaume,nimekutana na dhahama nyingine ya hiyo nyota ya nzige.
Nimeambiwa nitoe laki nne ili nifanyiwe...
Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri
Sababu kubwa...
Yes. Tuliishi wote zaidi ya miaka mitano na tukabahatika kupata mtoto mmoja lakini baadae tukaachana baada ya kutofautiana tabia.
Imepita zaidi ya miaka mitatu tangu tumeachana lakini sasa...
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume...halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai...
Niaje Wakuuu Natumain ipo vyema kwenu Leo katika Pitapta yotube uko nimekutana na Haka kavideo ka Wolper na Harmonize ila sema twende mbele turud nyuma huyu demu anaroho ya kitajir na kingine...
Jamani wanabodi,
Mimi nina tatizo moja, unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini, na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka...
Kumekuwa na tabia ya kuwanyanyapaa na kuwakosea adabu wanawake wanene kunako 6 kwa 6 sasa tuondoe utata hapa,kati ya mwanaume mnene na mwamke mnene yupi mzigo kitandani?
Sent using Jamii Forums...
Salaam wanandugu naomba kuuliza,hivi hivi vitu vinasababishwa na nini?!!!
Chuki;Utakuta mtu anakua na chuki mbaya kwa binadamu mwenziwe bila sababu za msingi!Yaani anakuchukia tuu!hujamfanya...
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini...
Habari ya mchana,
Karibuni tusikilize na kuimba wimbo wa bibi Kidude - Muhogo wa Jang'ombe pamoja na wimbo wa Ali Kiba - Dushelele......
Nimewaza.... hivi Marehemu bi kidude na Ali Kiba wangetoa...
Za asubuhi wadau wanajukwaa.
Kwa takribani miezi kadhaa toka mwaka huu uanze nilikua na mahusianao ya kimapenzi na mrembo mmoja hapa mjini, ambapo wakati penzi linaanza lilikua tamu kiasi kwamba...
Hivi kweli MTU akioa anaweza kuacha Punyeto?
Wenye uzoefu mtuambie hivi tangu muingie kwenye ndoa hamjawahi Chachua kweli? Huku wewe ukimuacha mkeo kitandani huku ukienda bafuni kama kukojoa huku...
Habari wanajamii, mwenzenu nipo njia panda kwanza nilizaa na demu ambaye tabia yake inanishinda na nikawa na demu mwingine ambaye anajua kabisa nina mtoto na anamjua demu niliyezaa naye but demu...
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na...
Habari za muda huu mates,
Tusipoteze muda, ni hivi, muda kidogo nyuma nlikuwa muajiriwa wa taasisi fulani hivi na mshahara wangu na wa mke wangu ukichanganya ulikuwa ni around 900,000/ (NET)...
Habari zenu wakuu,
Naombeni mawazo yenu,
Dada yangu kanifuata leo ofisini akinieleza matatizo yake kama kaka yake ukweli nimemwambia asubiri mpaka kesho nitampa jibu.
Dada yangu ameolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.