Kwa tabia hizi wanandoa mtakuja kuuana!!

Kwa tabia hizi wanandoa mtakuja kuuana!!

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Ndugu wapendwa natumaini mu wazima wote
Kuna vijitabia na sanasana majibu wanayopeana vinaweza kuwakosanisha na hata kuwatenganisha wanandoa,hebu tizama mfano huu:-

MKE : mbona unanukia pafyumu ya kike?
MME : yaa kuna mwanamke Tulikua tumeminyana ndani ya daladala
MKE: na lipstic kwenye shati?
MME: tulikumbatiana na wageni toka Zambia waliotembelea ofisi yetu
MKE :na ile condom isiyotumika kwenye mfuko wa suruali?
MME: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi.
Mke : lazima niulize, MIE HUWA NAHAKIKISHA NIMEACHA KILA KITU HUKOHUKO NDIO NARUDI NYUMBANI! [emoji41]
MME: umesema nini wewe?
MKE: bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi [emoji23] [emoji23] [emoji13]

Wanandoa kuweni na tabia ya kujadiliana na kusameheana, Ibilisi atacheza na ndoa zenu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom