Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila mtu anapenda kuvaa na kupendeza, lakini angalia jinsi unavyo vaa ukiwa mbele za watu kwan jinsi unavyo vaa ndivyo watu watakavyo kufahamu kwa kupitia uvaaji na muonekano wako Kupendeza sio...
10 Reactions
78 Replies
12K Views
Wakuu kuna hawa friends wawili wananitatiza sana. Huyu mmoja namzimikia toka chini ya sakafu lakini cha ajabu yeye wala hanizimikii kiivyo. Kuna huyu mwingine simfeel kiivyo lakini yeye kanizimia...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Salaam Nimeshtushwa kidogo na stori ya jamaa yangu aliyenitembelea hapa toka mombasa yupo hapa kidogo kwa likizo ya mwezi,sasa akaamua kidogo apate totozi lakini cha ajabu alichokuja kuniambia...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiwa unapita pita mitaa ya Dar ni kawaida kukutana na mabinti wazuri kweli na unaona kabisa hawa ndio watakua wametoka vyuoni au ndio vimekua kua hivi karibuni, wana mashape na rangi nzuri tu...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Wewe ulianza mapenzi mwaka gan?,,binafsi nilianza mwaka 2007 nikiwa la saba wewe je?
1 Reactions
133 Replies
9K Views
Kwa wale mnaoingiliwa kwa ndoa Na ma wifi pitia video hii Na ona maana yake kwa kupitia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hua nashangazwa sana na tabia ya wanaume wengi kuthubutu kutongoza wanawake mitandaoni kwa nia ya faragha hatimae wanaishia kuliwa tu pesa za nauli na makorokoro kibao bila hata kuwatia machoni...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari za usiku wadau, Poleni na mishughuliko ya kutwa nzima na hongereni kwa kujibidiisha na kujituma shurti ule vizuri, uvae vizuri, ulale vizuri na kuhudumia familia (kwa wenye nazo). Asiye...
40 Reactions
234 Replies
28K Views
Nipo radhi kumfikisha mwanamke kileleni tu lkn sio pesa!nikimpa mwanamke 2000tsh huwa naumwa wiki nzima,N.B wanasema mapenzi ya kweli hayabagui nategemea kuona Pm yangu inajaa ya wanawake wenye...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam Nimeshtushwa kidogo na tabia ya wife ambayo hapo kabla alikuwa hana hivi sasa mapenzi yamekuwa moto kiasi cha kuanzisha yeye shughuli nzima ya faragha na amekuwa hivi sasa ana mitindo...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Jamani mimi ni kijana ambaye nipo kwenye ndoa miaka 2 sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja na huyu mke wangu. Toka nilivyomuoa tumekua tukiishi kwa amani kabisa lakini...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hapa ikumbukwe kuwa kila kiumbe ana Tabia zake anazozipenda na kuzichukia. Mie mwanamke mwenye tabia hii huwa tunaachana 10:00 asubuhi. Tabia yenyewe ni hii ya mwanamke kufua chupi yake kwenye...
3 Reactions
96 Replies
7K Views
Habari zenu wadau wa MMU, Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru mods na members wenzangu wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu katika thread niliyoleta huku kipindi cha nyuma yenye kichwa...
30 Reactions
462 Replies
42K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu naona nyote wazima shukrani zangu kwa mwingi wa kuombwa na kusamehe Allah(s.w) eeeh mwenyezi mungu naomba toba kwa yote niliyokukosea ninayoyajuwa na nisiyoyajuwa...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Nina miaka 30 nakaa Dar, elimu yangu diploma ya business administration, mm ni mweupe wastani, mrefu wastani na mwembamba wastani, sina motto na wala sijawahi kuoa. Nafanya kazi japo sio nzuri...
1 Reactions
2 Replies
959 Views
Habari JF, Natafuta kazi yoyote inayohusiana na marketing in general au hata kama haiusiani so long as mtu yeyote wa aina hiyo (marketing) anaweza kuifanya. Am just a fresh graduant
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kukaa kwenye ndoa takriban miaka 10 kasoro miezi miwili wakafanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza angel na wa pili baraka. jamaa akakaa na mkewe wakapanga mipango mizito sana...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakuna asie jua kuwa hapa dunian ni njia tu hivyo wote tupo safarini jaribu kufurahia uwepo wake kwa wakati ambao yupo pamoja na wewe muonesha kuwa unampenda na unamuhitaji sana. Fanya kila...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Nina maswali kadhaa kwenu wanaume lkn Leo ntauliza moja tu. Kwanini mnapokuwa mnamtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu watiii na watoaji sana lkn mkisha mpata tu mnageuka wakali mnajifanya hamna...
14 Reactions
233 Replies
18K Views
Salaam wadau Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki lakini ndani ya mwaka...
16 Reactions
289 Replies
22K Views
Back
Top Bottom