Nadharia Kuhusu Bikra!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Kwa wanaume ni kama jambo fulani la fahari kumtoa msichana usichana wake na kujihisi kwamba huenda anapendwa au atapendwa sana na huyo binti!

au pia wakati mwingine huhisi tiyari ameshauteka moyo wa binti kisa tu kuwa wa kwanza kuujua mwili wake na hii ni persception yetu sisi wanaume!

Je Ninyi wanawake Mnamchukuliaje mtu aliekutoa usichana? Je ni kweli ndo amejenga mapenzi ya kudumu ndani yako au ndio mwanzo wa Kumchukia?

TheMason
 
Niliwatoa mademu kadhaa sild, lakini kwa namna flani sikuwa na interest nao sana wala sikuwa nawapenda sana, labda wao ndio walinipenda wakatoa nyuchi zao...
 
Teheeee .....mwanaume nimtungaji mimba tuu maana huyo ndo haitotokea kutpwasaliana na aliyemzalisha ....bikra ????? Siku Izi bikra zinatoka zenyewe tu ....sema ivi we ubahatike kua mwanamme wakwanza kimwili kwake.
 
Hakuna upuuz nisioupenda kama huo, niliwah kukutana na msichana wa aina hiyo nilichukia sana.

Napenda sana nikute mlango wazi nifanye yangu nisepe, tena ningeshauri wawe wanafanyiwa operation ndogo hospital kuliko kuwachafua vijana wa watu na maradhi haya, hilo zoez hata haijakaa vizuri kabisa. Sie tule tusepe baaaaasi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijachoka, naendelea kumtafuta mwenye bikra.. Sio kila siku nakutana na zilizokwisha chenjuliwa..
 
Teheeee .....mwanaume nimtungaji mimba tuu maana huyo ndo haitotokea kutpwasaliana na aliyemzalisha ....bikra ????? Siku Izi bikra zinatoka zenyewe tu ....sema ivi we ubahatike kua mwanamme wakwanza kimwili kwake.
Hahahaa aliekutoa Bikra leo ukikutana nae unajisikiaje
 
Niliwatoa mademu kadhaa sild, lakini kwa namna flani sikuwa na interest nao sana wala sikuwa nawapenda sana, labda wao ndio walinipenda wakatoa nyuchi zao...
kwahio mkuu kumbe ni kweli
 
Back
Top Bottom