Ni sahihi mke kufua boxer/kufuli la mume wake?

Kwani ni dhambi kumfulia mume boxer? Beki tatu ndiye aifue Best? Kuna vitu vingine ni vidogo vidogo sana ndani ya ndoa/mahusiano havistahili haya kulalamika. Kufua boxer haifiki hata dakika 10 hili nalo ni kulalama Best? Nauliza tu.

Unamkuta kabisa mwanaume anaona bafuni ameacha boxer kwenye ndoo hii ni haki kweli? Kwanini Maudie boxer na ma kufuli yenu?
 
Kwani ni dhambi kumfulia mume boxer? Beki tatu ndiye aifue Best? Kuna vitu vingine ni vidogo vidogo sana ndani ya ndoa/mahusiano havistahili haya kulalamika. Kufua boxer haifiki hata dakika 10 hili nalo ni kulalama Best? Nauliza tu.
Pamoja na kuwa haifiki dakika kumi kufua kwanini mwanaume asifue mwenyewe? Hamfahamu kuwa yuko katika dunia ya haki sawa?
 
Mke wangu hufua. hiyo nayo ni nguo!
Labda kama nepi nazo unaona shida kuzifua!
Mwanaume ni 'baby'! ndio maana unatakiwa kumlea!
Si haki nappy za mwanao na boxer zako pamoja na kufuli zetu yote argue mwanamke?
 
Haya Best kuna mchepuko huko unafua boxer bila kulalama tena unadai kwanini ufue boxer na mimi nipo hapa. Wakati mwingine vitu vidogo vidogo kama hivyo vinajenga ukaribu wa kufa mtu. Njemba inaona mchepuko wala hatii neno kufua boxer ya njemba wakati yule mama chanja atatoa maneno utadhani kufua boxer mikono itakatika.

Pamoja na kuwa haifiki dakika kumi kufua kwanini mwanaume asifue mwenyewe? Hamfahamu kuwa yuko katika dunia ya haki sawa?
 
Haya Best kuna mchepuko huko unafua boxer bila kulalama tena unadai kwanini ufue boxer na mimi nipo hapa. Wakati mwingine vitu vidogo vidogo kama hivyo vinajenga ukaribu wa kufa mtu. Njemba inaona mchepuko wala hatii neno kufua boxer ya njemba wakati yule mama chanja atatoa maneno utadhani kufua boxer mikono itakatika.
Kwanini njema isijifunze kufua mwenyewe? Si ana mikono? Haya mambo ya michepuko si mna jua kuna magonjwa yasiyopona?
 
Back
Top Bottom