Baby I have question

Baby I have question

Ocean road

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
631
Reaction score
304
Unaitwa nani
_Naitwa Babuuu

Kwenu mko wangap
_watatu
We wa ngapi
_last but mjanja
Unampenda nani Zaid Kat ya wazazi wako
_mama
Unasoma wapi
Nasubiria kujoin chuo
Unapenda chakula gan
_Wali samak
Unatumia Facebook?
_siipend watu wanapost mapicha mabaya sipend kuangalia vitu vibaya
Instagram?
_ndio
Kipind cha redio?
_XXL
Kipind cha TV?
FNL and FIVE SELECT
Movies or series?
Movies
Hobbies?
Swimming, video games basketball driving music sleeping
Arsts
Benpaul darasa jux bele9 rayvan biba Kendrick Lamar
Interest
_girls
Unapata wapi Pesa ya matumiz
_naiba kwa broo nikienda kumsaidia kuuza nachanganya na anayonipa
Unamiliki kitu gan cha thamani
_simu iPhone
Unajutia nini
_kupewa utamu na dada naogopa kwenda kwake labda amemsmulia shemej

Itaendelea......


Wa kishua
 
Back
Top Bottom