Dyudyu project

Dyudyu project

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
Huyu dada namuaminia anajua kusaka pesa aisee japo hii project kaipa jina la core ya project nzima ukweli dyudyu imekua issue jamani wengine wanapata kwa kalenda maisha yamekua taiti kufikishana kileleni dyudyu hataki akitaka anaishia njiani ila ki ukweli dyudyu imekua issue.

Sasa swali ni je kwa jinsi alivyoiandaa italeta matunda aliyokisudia maana washaanza kupinga teh teh DYUDYU mwenyewe jana huku akipaniki akiojiwa na wa TV mtangazaji embu tuelezeee project nzima.

Dada dyudyu kutokana na kwamba kwa miaka mitano nimekuwa nafanya vipindi nakutana na matatizo mengi wamama wanasema hawa enjoy ndoa zao hawafiki kilele sasa kama wanaweza kuniambia mimi why wasiiwaambie waume zao? Sasa kuliko niende na makamera kurekod ni bora waje kwangu niwape ABC kabla hawajaanza kukimbiana ndoani so hii itakuwa ni project ya namna hiyo.

Dyudyu for life kidogo nimeanza kumuelewa huyu dada japo sasa sijui ataepuka vipi watoto kupata dyudyuuu mawaiza ukizingatia watoto wanamiliki simu na eneo ambalo wanaweza wakapata dyudyu project .

Vipi mwenzangu umemuelewa dada dyudyu
 
mchaga na dyudyu wapi na wapi... kushughurika hamuwezi afu mnataka kufikishwa kileleni!!!
 
Dyudyu ni tamu hatari ila ukilijulia radha yake halisi ukubwani ni shidaaa!!
unaweza ukawehuka
 
Joyce anapenda dyudyu jamani nisawafiche. Mimi nimempitia old school kitambo, ukimpelekea dyudyu style ya anakwenda anakwenda na mpira halafu unarudisha mpira nyuma kuanza mashambulizi upya walahii anapandisha mashetani. Sasa mbunge mtarajiwa sijui kama anaweza vizuri au wasaidizi wanasaidia. Pepo la dyudyu kiria limemjaa
 
Acha akawafundishe...maana mashangazi siku hizi wamesahau wajibu wao
 
nipo radhi unitoe machoni eeh twende wote moyoniii eeh

beibiii sitaki kutazama nyuma tenaa maumivu nilishayaona
wengii walinipotezea mdaa
ah ah aah kuna mudaa namuomba Mungu angekuleta mapemaa
 
Back
Top Bottom