Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,793
- 1,251,529
1. Miaka michache kidogo iliyopita mwanamke kuzaa nje ya ndoa (bila ndoa) ilionekana kichefuchefu.. Yaan utadharauliwa na kila mtu lakini sikuhizi tunashangilia na kupiga makofi.. Tunatamani kuwa kama wao.. Mwingine kuzaa nje ya ndoa yake na mtu mwingine tunaona sawa kabisa na tutamshauri kafanya vema yaan analeta mtoto wa nje ndani ya familia, tunaona sawa tu... Mpaka wana support!!!! .
.
2. Kutoka kimapenzi na mke au mume wa mtu ilikuwa nadra au haikusikika kabisa na wanandoa walitatua matatizo yao kama yalikuwepo na kurekebishana wenyewe kwa wenyewe hata siri haitajulikana... Lakini sikuhizi, matatizo ya ndoa tunaya solve kwenye social network yaan mtayatangaza dunia nzima ijue mke au mume ndo chanzo Ili mwingine "akihalalisha" mtu mwingine isiwe ajabu tena... .
3. Hawara au (mwizi mzoefu) anamuita mume wa mtu eti mume wangu yaan anajua kabisa huyo siyo wake ana familia yake lakini kajituliza hapo anataka hiyo nafasi ya mke/mume halali iwe yake na anajitangaza hadharani mume wangu oooh mke wangu.... Hivi mnaona sifa eeeh.. Ilikuwa kichefuchefu na aibu kubwa kumuita wife mwanamke ambaye siye mkeo na una mkeo nyumbani... Au my husband wakati huyo ni husband wa mwingine... Matokeo yake sasa baada ya hayo mahaba kukolea yanaumiza familia na kuhusisha watu ambao hawakustahili ujinga wenu.... Ilikuwa haiwezekani ila kwasasa anhaaaa mume wa wote... Mke wetu sote