Kutokujiamini ni janga la wanaume Bongoland

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,567
Reaction score
20,126
Bila hata kwenda mbali angalia post hapa
1.USIMTAMBULISHE MKEO UTAGONGEWA

2.Usioe mwanamke mzuri

3.Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa

4.Usioe mwanamke aliekuzidi kipato

5.Usioe mchaga/muhaya

6.Usioe mwanamke aliekuzidi elimu

7.Kama wewe mfupi usitafute mwanamke mrefu

HIVI KWA NINI HAMJIAMINI?

Ukiangalia kwa wenzetu hii kitu ni tofauti sana ila hapa yaani ukidate mtu ambae hajiamini ni janga statement kama hizi hazimkauki1.

Sikuamini kabisa
2.I cant handle this relationship(dude you cant handle her personality she is too smart)
3.You gat attitude(noop ana vision ya hali ya juu wewe sio saizi yake.

NA WANAKAGUA SIMU HAO KAMA WAPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI

Kujiamini ni credit kubwa sana kwa mwanaume wa kisasa
Hata ukiwa na ela kama hujiamini utaumwa ulcers.

SIKU NJEMA
 
Mh!, mkuu huo ni mtizamo wako tu kulingana na ndoa au mahusiano yako uliyonayo sasa. Hao unaosema hawajiamini wameshafikwa na hayo mambo, nawe siku yako yakikufika uatakuja kuanika kasoro za wanaume wenye tabia kama za mumeo, subiri nyakati zifike
 
Sifa ya kwanza ya MWANAUME ni kusimamisha dushe bila jeki na sifa ya pili ni kujiamini......na sifa ya tatu ni kuchukua au kufanya maamuzi magumu kwa wakati muafaka................mwanaume akishakosa sifa hizo anaitwa ni binaadamu mwenye jinsia ya kiume lakini si MWANAUME
 
Unajua kuna tofauti kubwa sana ya Kujiamini kwa mwanaume, Matarajio ya mwanamke na Matokeo yaliyowapata wale waliofikiri kwamba wanajiamini.
Na kujiamini kupo kwa namna nyingi, kuna ambae nje anajiamini sana ila ndani hana lolote, kuna ambae nje anaonekana kutojiamini ila ndani ni mtu thabiti, na kuna ambae kujiamini kwake ni katika vitu/mali ('having' confidence than 'being' confidence.)
^^
 
Naona moshi mkubwa ikulu,sasa ngoja walinzi wa ikulu waje.
Nami nikutakie siku njema.
 
am not in a perfect relationship either
 
Sifa ya kwanza ya MWANAUME ni kusimamisha dushe bila jeki na sifa ya pili ni kujiamini......na sifa ya tatu ni kuchukua au kufanya maamuzi magumu kwa wakati muafaka................mwanaume akishakosa sifa hizo anaitwa ni binaadamu mwenye jinsia ya kiume lakini si MWANAUME

haswaaaaaaaaaaaaaa
just chek post hapa ki ukweli ina ashiria kabisa wanaojiamini ni wachache
 
Mh!, mkuu huo ni mtizamo wako tu kulingana na ndoa au mahusiano yako uliyonayo sasa. Hao unaosema hawajiamini wameshafikwa na hayo mambo, nawe siku yako yakikufika uatakuja kuanika kasoro za wanaume wenye tabia kama za mumeo, subiri nyakati zifike

Ha ha ha kweli mkuu Time will tell
 
Naona moshi mkubwa ikulu,sasa ngoja walinzi wa ikulu waje.
Nami nikutakie siku njema.

nina mishale ya kutosha nipo likizo siend job so nitapambana nao
wacha waje na kuibia ibia
teh..najuaa wapo kazini
 
Unajua kuna tofauti kubwa sana ya Kujiamini kwa mwanaume, Matarajio ya mwanamke na Matokeo yaliyowapata wale waliofikiri kwamba wanajiamini.
Na kujiamini kupo kwa namna nyingi, kuna ambae nje anajiamini sana ila ndani hana lolote, kuna ambae nje anaonekana kutojiamini ila ndani ni mtu thabiti, na kuna ambae kujiamini kwake ni katika vitu/mali ('having' confidence than 'being' confidence.)
^^

sisi wanawake ndo tunajibu hilo

tunakutana na watu wenye mali ila HAWAJIAMINI kabisaa
get it from me
kujiamini hakuletwi na mali
kunachangiwa na mali
 
Tungekuwa hatujiamini tungewapa mimba? Na kujishuku pamoja na kujishtukia ndio sifa za wanawake wa Kiswahili.

unampa mtu mimba maana una testis inayo tengeza sperms,kitu ambacho hata BATA DUME ANACHO
sasa hapo ndo kujiaamini???????
upo kundini pia hujiamini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom