Ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Aunty Lao, Oct 23, 2008.

 1. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Za leo ndu wapendwa, mimi nimeolewa na mda wa mwaka na nusu sasa. Hapo nyuma niliwahi kuwa na boyfriend tuliye kaa naye kwa mda wa miaka mitatu hivi. Huyu X-bf alikujakufahamu kuwa niliolewa na akafanya juhudi sana kutafuta no. yangu ya simu mpya. Ss huwa ananipigiaaga na kutunimia messages za mapenzi. Nimemkataza lakini haonyeshi kunielewa kabisa, mpaka sasa nimeamua kukaa kimya ila ndo kama vile amezidisha kutuma sasa. Kwa ajili ya kujiweka in a safe position, nilimwambia hata mume wangu lakini hakusema kitu alibakia kunyamaza tuu. Sasa naombeni msaada katika hili swala maana linanikera sana sana. Nifanye nini?
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2008
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Iwapo unatumia simu yenye(symbian os) zipo application unaweza ku-download bure na ku-install kwenye simu yako na ku-block namba yake bila yeye kujua.
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sorry Lorain...unaudhika kwa mumeo kukaa kimya kwa Ex-bf kutuma sms?
  Kwani kwa mume kukaa kimya kuhusu hilo lazima ujiulize...he must at least say something ujue na yeye kasimamia wapi?pengine anataka undelee iwe sababu yake kutok a nje akakwambia na wewe mbona wawasiliana Ex-wako.

  Hilo la sms kwa Ex-wako lisikupe taabu sana...as long uko na support ya mumeo..mnaweza ku face huyo bwana...na kumshauri kuacha kucheza na mke wa mtu..mke anauma..
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Au kamshitaki
   
 5. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa ushauri wako, hayo mambo ya design za simu sina uzoefu nao ila kwa sasa natumia sony ericson t280i. May be unipe darasa zaidi.
   
 6. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nauthika zaidi na Ex, lakini pia sikufurahia response ya Mr. nilipomshirikisha. Maana nilimwambia aniambie yeye kama mwanaume nifanye nini? akabakia kupandisha mabega tuu. It is true what you have said, may be he did that so that he can have kisingizio of the same.
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pole Lorain!
  Haya mambo ni magumu... kusema kuna faida na hasara zake... wakati mwingine ni bora tu kukaa kimya na mambo yako na kujaribu kuyamaliza.... kama ulivyoshauriwa jaribu ku block namba ya huyo x wako ili asiweze kukupigia.Huwa naona wakati mwingine ni rahisi wanawake kuelewa hali halisi kuliko wenzetu wanaume. Unaweza kumshirikisha mwenzako kama ulivyofanya lakini ika work against you!
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Push him baby....mpaka aseme kitu....Mwanaume,mwanamke wako kuna mtu anammendea harafu unanyanyua mabega akimpata utalalamika?Noma....
  Kama sikosei hata huyo Ex..,kashaona kuna gap(udhaifu)kwa mume..wakati mwingine..kujiamini kwa mwanamke na kuwa na msimamo kuna changiwa na mwaume mwenyewe...sasa huyo wa kunyanyua mabega kwa kweli...

  Sasa wewe hapo unakuwa umebaki peke yako....kwenye kufanya maamuzi.Sio kipimo kizuri.Na huyo jamaa Ex,sio kwamba anakujua zaidi ya wewe unavyo mjua anaona kuna uwezekano one day unaweza kudhoofika akapata anacho taka..so mume lazima awe strong kuonyesha anakupenda yuko tayari kukutetea...akiacha na mabega yake Ex..anaweza kukupata..
   
 9. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nikweli kabisa na unayosema ndugu, or may be Mr. anachukulia kwamba bcoz tukombali Europe and Africa. Lakini sidhani hiyo ndo iwe chanzo cha kunyanyua mabega! It is true nimebaki na hang kwenye hili swala kwa kweli.
   
 10. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unajiongopea Dada,

  Mumeo kupandisha mabega,sio kwamba hajali, ila ni kupima uzito wa mapenzi yako kwake na dhahili hapo,take it from me (i had been there once) wewe huna uhakika licha ya kwamba umeolewa na huyu Bwn. mapya(mumeo).
  tafuta muda ufikiri na usifate nini akiri inakuambia some where in your heart there may be some thing you still feel kwa ex-.
  Sasa kwabla ya mambo kukuendea vibaya (which i bealive they will) unless utafute njia ya kuondoa hizo feelings za huyo jamaa wa zamani,kwani yuko hapo na msgs zake kukuharibia,huwezi kumpenda mke wa mtu alafu tena alikua wako wa zamani nia hapo ni kuchafua.
  Achana nae,
  Mpende zaidi mumeo kwani anaonyesha mstaarabu kwa kiasi cha juu.Nyie wanawake wa siku hizi hamatabiriki anaweza kuanza kumsemea ovyo huyo jamaa alafu siku ya pili wewe na huyo ex- mnaajivinjari nyuma ya mgongo wake,yametokea sana na yanatokea kila siku.
   
 11. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nashukuru, kama ingekuwa na feelings na nataka kumzunguka Mr.nisinge thubutu kumwambia na ningelimpa X tricks za ni jinsi gani tungewasiliana ili jamaa asijue.
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...badilisha namba ya simu.
   
 13. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ubongo wa binadamu una fanya kazi mno.....
  And some time..no all the time fate plays tricks with Us (hii ni nadhalia tu ya kuonyesha jinsi gani mioyo yetu inaweza kufanya kazi)
  wewe unadhani kwa kusema huo ukweli ndio umemaliza what if you had no choose zaidi ya kusema ukweli? na kama ingewezekana kwa kuona labda haitoleta matatizo kwa kuwa wazi ungeficha?
  Hayo ni baadhi ya maswali unahitaji kujua majibu yake wewe mwenyewe.

  Kurudia kule kwenye Fate,sidhani kama unajua kwamba.....kwa ku-wish tu kwa dhati ya moyo wake jamaa mnaweza kuangukia kwenye kitanda kimoja walau kwa siku moja ambayo utaijutia mpaka mwisho wa maisha yako?(mind you hii ,itawezekana tu kwamba wewe pia una-uncertainty kwenye moyo wako,ndio maana nakuambia ondoa hizo feelings kama zipo ili ufurahie ndoa yako)

  Na usi-mjudge mwenzio kwa sababu ya kukaa kimya kwakejaribu kumuuliza ,kwamba je haiku muuma au yoko sawa tu alafu ndio utapata jibu.
   
 14. M

  Mama JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0


  be hard on him, ikishindakana umshtaki mahakamani. Atakuharibia na akiona yamekuvurugikia hutamwona tena.
   
 15. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na usi-mjudge mwenzio kwa sababu ya kukaa kimya kwakejaribu kumuuliza ,kwamba je haiku muuma au yoko sawa tu alafu ndio utapata jibu.

  Asante, hapa umejaribu kunipa mwanga.
   
 16. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 17. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2008
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ushauri wangu km Domo kaya ni huu, kaa chini na mumeo na umuulize analichukuliaje hili suala, nadhanani atakupa ushirikiano kimawazo, kama ataendelea kuwa kimya belive me jamaa atakuwa hajali au hana mapenzi na wewe. Mimi najua maumivu hayo cos yameshanikuta, mtu akianza kutafutwa na ex wake na ukajua roho huwa inauma sana, nashangaa jamaa kwa nini apandishe mabega juu tu wala asiseme chochote, mimi mwenzangu alivyoanza kupigiwa simu na ex wake niliumia sana na mwisho wa siku akaamua kubadirisha number ya simu ili kuepuka kuniumiza.....

  Sijui mahusiano yenu yakoje, labda ndivyo mnavyoishi, au mumeo anaona akianza kukasirika ipo siku utagundua madhambi yake na wewe utakasirika, hivyo anataka siku ukigundua madhambi yake wote muwe sawa.
   
 18. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Try this and it will work out:

  Nenda kwa kampuni ya simu ambayo wewe unaitumia, wape namba ya simu ya huyo (EX-BF) na waambie wai-block isiingie kwenye simu yako. Waambie kwa nini unataka ku-block, na wata-iblock hukohuko kwenye network yao. Akitumia namba nyingine do the same.

  Alternatively, mpe karipio kali kwamba utamfikisha kwenye vyombo vya usalama.
   
 19. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2008
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtu yuko ulaya uta mpeleka kwenye vyombo vya sheria vipi?
   
 20. N

  Namtih58 JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanza kama nimekuelewa vizuri mmoja yuko ng'ambo.
  Hapo basi ikiwa umemkanya na bado hasikii, basi badili namba ya simu. Lakini kabla ya kuibadilisha, hakikisha umewafaamisha watu utakaowapa hiyo namba mpya kuwa si ungwana kufahamishana namba za watu bila idhini yao, kwani lazima iwe mtu unayemjua alifahamisha.

  Pili usimchukulie mwenzako vibaya kwa kuwa hakusema chochote. Pengine nia yake ni kuona utakavo likabili swala hili. Usitumie kimya chake kama udhuru, kisha ukaja kujuta.
  Usisahau ni jukumu lako hapa, ijapokuwa mumeo anastahili kukusaidia, mnahitaji kuimarisha mawasiliano ndani ya ndoa yenu. Kuna mkuu mmoja aliyeniambia, siku ukiona unaogopa kumuuliza/kumuambia mwenzako kitu basi kuna hitilafu kwenye mawasiliano kati yenu.
  Ilikuchukua muda gani kabla hujamfahamisha mumeo, isije ikawa ulipoona uta shikwa ndo uliamua kumjulisha.
   
Loading...