Natafuta mchumba

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Niliyekuwa namuwakilisha mwaka huo wa 2011 alishapata lengo lake...

Thread closed...
 
we hii ni thread yangapi unatoa?

muombe mods password kashaanzisha jukwaa la mahusiano baada ya kufuta jukwaa la wakubwa.
 
Susy inaonekana wewe ni msahaulifu sana,unaweza kusahau hata mlango wa choo wa nyumbani kwako,wewe mwenyewe nilikuambia nimetuma Thread baada ya ile kuonekana baada ya wewe kusema "i'm single so",kisha ukajibu kwa kicheko tehe,teheee
 
kwa kusema hvyo unajionyesha huna mapenz ya kweli..
 
Inaelekea hukufikia hata BREAK EVEN ya zile qualities nilizokuwanazitaji juzi?
 
0786 256 380 au 0769 072 588,kama wewe ni binti unaehitaji mapenzi ya kweli nitafute,sihitaji utani wala mwanafunzi wa sekondari labda wa chuo,umri 25 mpaka 35

Unataka mtu wa ngono tu wewe, sio mpenzi
 
yah huyu jamaa anataka mtu wa kuzini naye hakuna mapenzi hapa kwa sababu alivyozipanga hizo namba kama matangazo ya madalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom