Wasichana wasomi hasa wanaokaa mijini hawataki wachumba waaminifu ...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasichana wasomi hasa wanaokaa mijini hawataki wachumba waaminifu ...!

Discussion in 'Love Connect' started by TUJITEGEMEE, Apr 25, 2011.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Nimefanya utafiti huu (mwenyewe) karibu miaka sita sasa,...kulingana na takwimu nilizonazo zinajitosheleza kuwatuhumu Wasichana wasomi hasa wanaokaa mijini(midogo na mikubwa) kuwa hawataki wachumba waaminifu. Ukimfuata msichana huku ukionyesha nia ya dhati ya kumchumbia(kwa minajiri ya kumuoa). Akishakugundua kuwa wewe huko nyuma hukuwai kuwa na tabia za kubadilisha wasichana kwa mambo yasiofaa na una mwelekeo wa kicha Mungu(wa kweli kweli) kiasi kwamba hapo baadaye hutaweza kuvunja ahadi ya ndoa (Kukosa uhaminifu)...Loh ataanza visingizio hapo ikishindikana
  visa mpaka utaachia ngazi mwenyewe. Na huu utafiti nimeufanya kwa wale walio kazini (kwa kujiajiri au kuajiriwa) na wanaotafuta kazi.

  Katika utafiti huu tabia yangu ya Kupiga Kelele nimeiweka kuwa sawa (constant) kwa wale wote niliowatafiti.
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ''coincidence'' tu...mpigakelele...si kweli.
  Pia utafiti umeufanya kwa ku''observe-Unaweza ukawa ''bias''katika hili....
   
 3. kure11

  kure11 Senior Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi napinga hoja yako, labda kama sehemu kubwa ya utafiti wako ulihusisha maeneo ya sehemu mabint/wadada huenda kujiuza wengi wao hawapendi comitment. Why saying this,!!!!!!!!!!mimi nimeongea ,nimekutana na wakaka ,wanasema wakianzisha mahusiano na mdada mcha mungu ,mwenye hofu ya mungu , watashindwa kufanya mambo yao,(yaani mpango wa kando)mdada anaweza kumpeleka kwa mchungaji,kanisani n.k,so disapointed na hii kwani nikahisi hakuna mkaka mwenye hofu ya mungu,najua wapo ni muda tu kukutana nao,so vuta subira u will surely find one.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  uwongo
  uwongo
  uwongo
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  WEWE acha kujishtukia
  umekataliwa kwa vgezo vngne so acha kuchamba vsngizio vngne
  wake up n find wap unaboronga
  lakin ivo vgezo vyako et waschana wakikujua we mwaminifu awakutak
  sjui ukiwa mchamungu yaan vya uroooooooooooooooooooongo...kuna mtu anataka mume mapepe?
  jikaze
  smama kiume
  wafatae wenzako wakufunde jins ya kutongoza na from TODAY I COMMAND U IN THE NAME OF JESUS CHRIST ACHA KUTOA TAFIT ZA URRRONGO...amen.
  nawasilisha.
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,289
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280

  Jichunguze, inaweza kuwa una matatizo fulani hivi yanayofanya kukupiga chini kiaina.
   
 7. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Hii si hadithi ya Abunuasi, kazi hii nimeifanya....Woote niliotafiti nilikujakugundua kuwa hoja yao kukwepa wanaume waaminifu(hawachezei wasichana wala kutoka nje ya ndoa zao) kwa usomi wao wanadai kuwa" kama mwanaume hakuwai kujihusisha na mabinti hisivyo halali na ni mcha Mungu basi huyo ana wivu sana na atakunyima uhuru wakufanya mambo yako binafsi"
   
 8. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Aisee lakini kumbuka swali moja uwe unajiuliza " Je hao wasichana wanapenda wanamme waaminifu kweli na wanapenda kuolewa? kuna wengine hawataki kuolewa. halafu wanangine wanahitaji wapiga staili za kiiaina Je ukiwa mwaminifu mshamba mshamba hayo mambo utayajulia wapi?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Oooooh,mtafiti ulifanyia wapi utafiti wako,i mean miji ipi?na chuo pia ni chuo kipi?
  Let me know
   
 10. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Nitataja mikoa/majiji: Mbeya, Arusha/Manyara, Kigoma, Pwani, Dar-es-Salaam, Dodoma, Mwanza na Kagera, Kilimanjaro.
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Of course 2some xtent uko sawia,hapa tusitafute ni akina nani wanajua/hawajuhi kati ya K/M ukweli ni kwamba K ni wazuri wa kulalama kuonewa ila ni ma actress wazuri pia,vyuoni wanavunja rekodi kwa kuzungusha na siyo kweli kwamba huko nje wanawakataa wanaume,wao wenyewe ndo huwa wanakataliwa,tunawaona kitaani wanatoil kichizi,tatizo hawawezi kutorelate wakati wa hardships huwa wanafikilia kusepa ama kutafuta penye nehema

  zamani waliograduate ualimu ndo walikuwa wanaweza kuvumilia tofauti na course zingine ila kwa sasa wote wanakalia kuti kavu huku kitaa,tatizo lao wanataka maisha safi,hawataki kabisa ups & downs za maisha,

  hawataki cmtment za ndoa ili iwe rahisi kwao kuwithdraw pindi masela watakapochacha,simply like that man!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kaka kama hizo ndio assumptions ambazo umetumia, kweli hazijitoshelezi. By the way wadada wengi hasa hao wasomi unaosema anapopata mwanaume anae faa no matter what most wanamng'ang'nia bila kumwachia cause wanaume reliable wamekua adimu.
   
 13. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Tafiti zingine sasa.... Khaaa! Uongo uongo uongo mtupu! Wakikusikia wenyewe wanahaha kupata wenzi wao wa maisha watakuona wa ajabu. Lakini pengine ututundikie hapa picha yako full kuanzia juu hadi chini, mi nadhani kwenye attraction tu kuna tatizo may be maana haiwezekani ati! :A S 39:
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Imegoma kuingia kwenye brain.
   
 15. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi jambo la msingi ni kwa walengwa kubadili mtazamo wao juu ya mahausiano, kukosa uhaminifu ni mojawapo ya sumu mbaya kuwahi kuwepo katika maisha yawapendanao ( wapenzi). Kuna mjumbe kaeleza vizuri maisha ya wasichana vyuoni/mashuleni kuwa sio mazuri(kubadilisha wavulana/wanaume). Na nadhani hili linachangia sana walengwa hawa kuendelea kuwa na mtizamo wa kukosa uhaminifu katika maisha yao ya kindoa au uchumba. Hapa tunatakiwa Kujenga wala sikubomoa.Tujitathmini ili tusonge mbele
   
 16. n

  neyro JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  kaka inawezekana kutokana na usomi wao wamekufanyia utafiti wote nao wakakugundua ww ni player au hauko cr'az na life. Tangu lini mtu akapenda kuolewa na mtu kula kulala! Badili mbinu na mwonekano wasomi wengi hawapendi dharau na kashfa.
   
 17. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Ukiisoma "heading ya thread"halafu ukafikiria kuwa mwanzisha mada anawashambulia wasichana wasomi inakuwa "imekula kwako".
  Wasichana wasomi ni watu muhimu sana katika jamii yetu, kwanza kwa uchache wao (kwani huko nyuma hawakuwa nafursa nyingi zakuendelezwa kama wenzao wavulana katika baadhi ya maeneo hapa nchini). Umuhimu wao unatokana kuwa wao ni rahisi kutambulika, wanaangaliwa na wenzao(ambao hasa hawakupata fursa za kusoma) kama sehemu ya kuchota hekima, busara na maadili(they are role "model"), likiwemo hili la uaminifu. Wanafalsa waliwahi kusema kuwa kumfundisha mwanamke ni sawa na kufundisha watu mia mbili. Sasa kama tunawapa fursa ya kusoma na wanatumia fursa hii kukiuka maadili na kupotosha wenzao(kumbuka uwiano wa 1:200), hili si jambo jema.Na hii itakuwa inawapa ushindi wale wote ambao wanaamini kuwa mwanamke hana ulazima wa kupewa fursa ya kujiendeleza. Tusikubali kushindwa na watu wa namna hii.

  ANGALIZO:
  i.Utafiti wangu haumaanishi kuwa wasichana wote si waadilifu(najua wapo wasichana waadilifu kabisa) na kama wewe ni mmoja wao(waadilifu), endelea kuwa hivyo kadri Mungu wako atakavyokuwezesha,

  ii.Nimetoa matokeo haya kwa nia ya kuwasaidia kujitambua hawa ambao wana tabia(mtizamo) hiyo/huo wa kutokuwa waaminifu wajaribu kutafakari madhara wanayoisababishia jamii,hivyo wachukue hatua kubadilika na kuwa waadilifu, na

  iii.Nawapenda wasichana wote ambao ni waadilifu. Na Mungu wetu awabariki.

  USHAURI:
  Majukwaa yote ambayo yanawakusanya wadada/wasichana wote wajaribu kulizungumza hili la uaminifu. Kwa kuanzia lile jukwaa la nyumbani(familia/kaya) ndilo linatakiwa kuwa imara kushughulikia kadhia/kazia hii.

  HITIMISHO:
  Nipo tayari kukosolewa/kuelekezwa kwa lengo la kuboresha mbinu za kujenga jamii yenye maadili mema tukianza na wasichana wasomi.
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  May 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Acha uongo wewe...,
   
 19. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Samahani: Fafanua, muongo ni yupi na uongo wenyewe ni upi!?
   
 20. Joseverest

  Joseverest Verified User

  #20
  Sep 27, 2017
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 36,187
  Likes Received: 41,363
  Trophy Points: 280
  Kumbe
   
Loading...