Kwa style hii single mother wataongezeka maradufu!

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Inasikitisha kwa kweli!

Sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani hawa wanawake

Muda kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti mmoja ivi hapa mtaani, tukafanikiwa kuyaanza maisha ya mapenzi huku tukifurahia maisha hasa chachu ya penzi letu ikiwa ni kugegedana!

Ajabu huyu mwanamke nimekaa naye miezi mitatu yote hii wala hata hanishirikishi mipango yake, mafikirio yake kwangu kumbe ilikuwa ni kumuoa kabisa, lakini hii haikua shida

Shida imekuja baada ya yeye kujitegeshea mimba tena kimya kimya na hadi sasa inaumri wa mwezi ndio ananipa taarifa!

Enyi wanawake nipende kuwambieni tu kwamba, mimba sio kigezo cha kuolewa!
Mimba huhusisha mipango ya mume na mke, lini wazae na maisha ya mtoto yatakuaje

Sasa nyie mnakurupuka tu eti unatega mimba ahahahahah

Kwa mtindo huu single maza mtakuwa wengi sana huku mtaani na mtaishia kutulaani tu na laana wala hazitatufikia kwa namna hii, tutawatelekeza sana
 
Unafanya nae mapenzi kashika mimba unashangaa mtu wa ajabu sana wewe ulitegemea hana kizazi wala hashiki mimba acha kukwepa majukumu kwa kisingizio cha mipango wakat ulikuwa huvai kondomu.

Ulivoanza nkajua labda demu kakukataa ukiwa umempa ujauzito kumbe ndo wale wapenda vinavyoelea tu
 
Ulivokuwa unasex nae without using protection ulikuwa unategemea nini??? Kwahiyo ulitaka atoe then baadae uje kumtangaza humu kama wanawake wanakosa vizazi kwasababu ya kufanya abortion!!!

Mmezoea kutuchezea eeenhhh lea mtoto huyo
hivi unafikiri ukiona mwanaume anapenda sana ku sex na wewe anakupenda eeeh??
ni kwamba anakufanya tu kwa hamu zake akikutosheka anakuona wabkawaida
 
Inasikitisha kwa kweli!

Sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani hawa wanawake

Muda kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti mmoja ivi hapa mtaani, tukafanikiwa kuyaanza maisha ya mapenzi huku tukifurahia maisha hasa chachu ya penzi letu ikiwa ni kugegedana!

Ajabu huyu mwanamke nimekaa naye miezi mitatu yote hii wala hata hanishirikishi mipango yake, mafikirio yake kwangu kumbe ilikuwa ni kumuoa kabisa, lakini hii haikua shida

Shida imekuja baada ya yeye kujitegeshea mimba tena kimya kimya na hadi sasa inaumri wa mwezi ndio ananipa taarifa!

Enyi wanawake nipende kuwambieni tu kwamba, mimba sio kigezo cha kuolewa!
Mimba huhusisha mipango ya mume na mke, lini wazae na maisha ya mtoto yatakuaje

Sasa nyie mnakurupuka tu eti unatega mimba ahahahahah

Kwa mtindo huu single maza mtakuwa wengi sana huku mtaani na mtaishia kutulaani tu na laana wala hazitatufikia kwa namna hii, tutawatelekeza sana
sasa utamuoa au humuoi?
 
hivi unafikiri ukiona mwanaume anapenda sana ku sex na wewe anakupenda eeeh??
ni kwamba anakufanya tu kwa hamu zake akikutosheka anakuona wabkawaida

Kama haumpendi mtu kwanini unapenda kusex nae.......mmezoea kututumia tu na kutuacha hamjui kama mnatuumiza eenh!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa ww wakati unafukunyua kizembe ulitegemea nn. Umelikoroga mazee lazima ulinywe
 
mpo kwa ajili ya kutommbwa
halafu mnajifanya hampendi akati mnapenda sana mipini sema tuu mnataka maslahi mengine

Who told you we're after sex and money????? Tatizo mnapenda kujidanganya nyinyi wanaume.....sisi ni watu wenye roho za kipekee na ukiona msichana anafanya ujinga basi jua kuna sababu

Halafu wewe akili yako inaonesha msichana kwako ni chombo cha starehe tu!!! Nakuonea huruma
 
Back
Top Bottom