Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu, Naomba kujuzwa asili ya pete ya ndoa na malengo yake hasa. Je, ni swala la kiimani? Namaanisha lipo katika maandiko ya Biblia/Quran au ni taratibu tu za watu. Na je, ikiwa sina...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Shosti aliolewa baada ya ndoa na honeymoon Ameomba ruhusa kwa boss kazini, mume alikuwa na likizo wiki moja abele. Mambo ya penzi changa shost amemwbia boss kichwa kinauma aende kupasha kiporo...
4 Reactions
123 Replies
10K Views
Good evening wana JF Nilikuwa nauliza swali HV inawezekana mwanaume kama hajawahii shiriki mapenz na mwanamke tangu azaliwe na sio MTU wa mazoez wala mlaji wa vitu kama pweza au supu za pweza au...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba awe anajielewa, ana hofu ya Mungu, elimu kuanza kidato cha sita na kuendelea, awe mrefu kiasi, kwa dini awe mkristo. Kwa maelazo zaidi tuwasiliane kwa no...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Najifikiria sana sielewi,Kila mwanamke ninaeingia nae kwenye mahusiano ni mke wa mtu tena kiumri wamenizidi na kuzaa wamezalishwa.Kubwa zaidi hadi nimezaa na mke wa rafiki yangu bila kujua mwisho...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Habari wapendwa, poleni na majukumu. Naomba kuuliza ni kwanini baadhi ya watoto wa kiume wakishaondoka nyumbani kwa kuwa na familia yake au kuishi peke yake, huwa inakuwa vigumu kukumbuka...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
ilikua siku ya Jana mishale ya jioni Mara baada ya kutoka kwenye mihangaiko.. Baada yakufika home ndipo nilipopata taarifa za kusikitisha na kustaajabisha. Nyumba ya jirani kuna wapangaji na...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Kuna binti nilikuwa nae katika mahusiano ila kwa bahati mbaya siku ya makubaliano ya kupewa mchezo ilikuwa kesho yake anasafiri kwenda nje ya mkoa kufanya kibarua baada kupewa penzi nilimpa kiasi...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
[emoji115]Habari wakuu! Jamani naombeni kuuliza telbox Tanzania ni ya kweli nimetuma pesa toka asubuhi hadi muda huu sioni code wala msg kutoka kwa hawa watu, naomba msaada km kuna mtu aliwahi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja ambaye alikuwa anaishi na mme wa ndoa huko Kising'a ya Isimani Iringa aliuawa juzi kwa kukatwa mapnga na mme wake. Tukio hili lilitokea baada ya mwanamke huyo kudai talaka...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna demu niko nae tangu anasoma chuo kila siku alikuwa ananiomba nauli.. Kamaliza chuo kaanza kazi kila siku ananiomba nauli na lunch nampa elfu 10. Nikajua ataacha akipata mshahara.. Huu mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mnarudisha heshima baada ya kukata mirija yote ya pesa.Mkipendwa mpendeke acheni kunusa nusa kama paka mnajifanya mashauzi mengi. Nimevuta mzigo mwingine mpya anaanza kulia lia mara nisamehee...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
...Ananichanganya kiunoni shanga, marashi kama nipo peponi, sauti ka' kinanda, ya kumtoa chatu pangoni.. na nikitafuna karanga, sitaki hata aende sokoni. Nikiwa na pesa nitasifiwa kitambi, beby...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni msaada, Nimekuwa na shida hii toka zamani, huwa nikifanya mistake ndogo tu, nakuwa disappointed sana. Kuna wakati naweza nikakaa sina raha siku nzima au hata zaidi lakini jambo jenyewe...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Ameolewa sawa. Lakini hakuja kwako kuwa house girl wako wala mtumwa wako. Amekuja kwako muishi kama marafiki wapenzi mtakaojenga familia, kushauriana, kuheshimiana na kubwa zaidi na la muhimu ni...
15 Reactions
776 Replies
49K Views
Habari za Leo.
5 Reactions
121 Replies
11K Views
Habari za mihangaiko wana MMU, Wakuu, leo kwa jirani yangu pamechimbika mke wake kaliamsha dude. Wakuu mda so mrefu nimeingia kwangu nikitokea kuijenga Tanzania ya viwanda, ila baada ya kufika...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Katika pitapita zangu, babu mmoja kaja kutembelewa na mjukuu wake mwenye ndoa ya mwaka mmoja tu na miezi kadhaa, Alipowaona akahamaki na kuishia kusema "bibi yenu akija jambo la kwanza...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Huu natoa kama wito kwa wanaume wote ambao tuna wake wazuri, wake wanaojiheshimu ambao tuna wife matirial. Hivi...
3 Reactions
96 Replies
6K Views
Wakuu nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya hatua za kuchukua juu ya huyu binti wa mkoani! Ni binti ambaye sijawahi kuonana naye ila tulifahamiana kupitia mtandao maarufu wa facebook. Sasa jana...
4 Reactions
156 Replies
11K Views
Back
Top Bottom