Sisi wanaume waonevu sana

Sisi wanaume waonevu sana

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
1,001
Unakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.

Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?

Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku

Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.

Ila ni mtazamo tu ba ndugu
 
Wewe kama unaona unamuonea mke wako Uwe anatoa mahali kila mwaka utakuwa umeonyesha mfano mzuri sana
 
Unakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.

Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?

Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku

Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.

Ila ni mtazamo tu ba ndugu

Ingekuwa tukishatoa hiyo ' mahari ' halafu tukiwa tunaichomeka Mikuyenge yetu tunatoka na Dhahabu au Almasi au Makinikia ningekuelewa lakini unaweza ukatoa hiyo ' mahari ' na bado kila siku tu unafululiza kwenda NAKIETE Mwenge kununua dawa za Magonjwa ya Zinaa kwani ' Mgodi ' wako wa ' Kibaiolojia ' ulioulipia siyo Wewe peke yako ndiyo unachimba ' madini ' yaliyomo humo bali unasaidiana na ' Mamanta ' wengine tena waliotukuka.
 
Duuuh
 
Mahari yanawafanya wanawake wawe kama watumwa fulani hivi, ingekuwa ni kuchagua mie ningekataa hayo mahari yasitolewe kwangu, huyoo baba alivyo mtata sasa!!!
 
Mahari haiwez kumnunua mtu kaka wala haina thaman ata kidogo kulinganisha na mwanamke ata utoe kila mwez bado haiwez kulipa anachofanya
 
Unakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.

Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?

Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku

Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.

Ila ni mtazamo tu ba ndugu
Pumbaavu
 
Mwanaume anayejisifu kuwa kamtolea binti mahali ni mvulana kiakili. Mahali ninavyojua mimi ni mfano wa zawadi tu kwa wazazi kwa kukulelea mkeo basi...na hata hivyo huwa haitoshi hata siku moja.
 
Mahari ni mwanzo tu...

Baada ya hapo majukumu unayokuwa nayo kama kichwa cha familia ni zaidi ya mahari uliyotoa...

Baada ya hapo she is your responsibility mpaka kwa pumzi yake...

Cc: mahondaw
 
Marekebisho:-
Hanipi huduma usiku ila tumapeana huduma usiku maana ile ni win-win situation.
 
Mahari yanawafanya wanawake wawe kama watumwa fulani hivi, ingekuwa ni kuchagua mie ningekataa hayo mahari yasitolewe kwangu, huyoo baba alivyo mtata sasa!!!
Kumbe sakayo umeshaolewa dah!!.
 
Wanaume mnapaswa kutushukuru wanawake hasa tunaowafichia mapungufu yenu vinginevyo mngetapa tapa sana
 
Nimemkumbuka Julieth wa Three Suitors One Husband
 
Back
Top Bottom