1. Do not look like your situation. Avoid announcing to everyone that you are broke. It makes it harder for people to respect you.
2. Adjust your lifestyle. Cut expenses and learn how to manage...
Nilikuwa nazungumza na demu fulani hivi ,sasa ni mke wa mtu alikuwa mtu wangu for two years hatukuwahi kusex, baadae tukatofautiana,kila mtu akawa na ndoa yake ingawa tumekuwa tukishirikiana...
waamasai ni ngombe kumi ,blanket 20,pombe ya wazee ya kubarik binti yao akiondoka.plus million moja sasa must. wasukuma nao mahar ni mili 2.mm nimepitia haya...
Jana jioni nimetoka kazini nina upwiru balaa, nikasema embu ngoja niende guest kwanza nikanunue, mimi huwa sipendi sana kwenda sehemu za starehe hivyo nikalazimika kumuagiza jamaa yangu...
Mkihubiriwa na watumishi wa Mungu mwache uzinzi mnakua wakali.
Mnataka injili za baraka, pokea gari pokea nyumba.
Tumeambiwa tusizini ili tuwe na amani katika maisha yetu. Maisha yetu...
Eti wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ambaye sijawahi kua na mahusiano yoyote naombeni ushauri wenu,nitatokaje kwenye huu uduwanzi wa kutokuweza kutongoza ukizingatia nahitaji kua na...
Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwanza kabisa naomba niende paralle (Parallel line are the lines that NEVER MEET incase ulipitia dirishani...
Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo...
Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Awe na watoto wasiozidi wawili.
Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Awe...
Yamenifika kooni najisikia vibaya kuendelea kuigiza kwa shemeji yangu na nahisi kama na mimi naendelea kushiriki dhambi ya kuiba damu ya watu
Ipo hivi nina sister yangu ambae ana mtoto wa miaka 3...
Mwanaume kuvaa surual za kubana ni aibu sana sasa ww ni demu unaonesha nini kama sio uchoko.mwanaume vaa bugalu vazi la heshima. nguo za kubana ni za mademu...
Unamkumbuka Vozinha? Yule golikipa wa timu ya taifa ya Cape Verde aliejizolea umaarufu kwa uwezo wake wa kuokoa hatari langoni katika michuano ya world cup ilyoisha hivi karibuni
Baada ya world...
Naomba nianze na mimi
Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel
Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight"
Nikameza mate...
Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ?
Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza...
Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume
Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana
Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi...
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.