Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kataa ndoa hawana stress daima hawateseki wao ni bata tuh.ila ndoa ni utapeli tuh hamna jipya #tagg kataa ndoa daima!!
1 Reactions
2 Replies
39 Views
Inategemea na mlango ulioingia maana kuna malango yaliyojaa taabu tele hapafai kabisa
4 Reactions
13 Replies
123 Views
Ladies and gentlemen Tuelewane frog style ni branch ya dog style lakini sio dog style..!! Naona wengi mnachanganya hapa! Hii ndio frog style 👇😹 Halafu kuna hii ndio dog style 🏃‍♀️‍➡️ Lengo...
32 Reactions
504 Replies
7K Views
Experience makes a person better or bitter. Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,,,, Wanawake wa kizazi hiki hawajui wanachotaka unaweza piga jitu ukaenda jela Bure na future...
6 Reactions
21 Replies
295 Views
Hello jf members Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
4 Reactions
60 Replies
606 Views
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu. Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa...
11 Reactions
71 Replies
888 Views
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Ongezeko la thamani kati ya mwanamke na mwanaume ni kinyume chake kulingana na ongezeko la umri,Thamani ya mwanamke ina pungua kadri umri unavyozidi kuongezeka wakati thamani ya mwanaume...
3 Reactions
6 Replies
217 Views
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo?? Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi...
153 Reactions
2K Replies
243K Views
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango. Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti...
15 Reactions
124 Replies
2K Views
Apo ndio wanaume wenzetu walikabizi maisha ya mapenz na ndoa na uongozi wa familia kwa wanake (leo 80% ya ndoa zinawaka moto,wapo waliokimbia wapo wanaoungua)
2 Reactions
10 Replies
110 Views
Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi 👇👇 Chukua maji ya baridi unywe Lita...
5 Reactions
30 Replies
315 Views
Sasa kama Mtaalam wa Mbunye hapa katika hii Video Clip anasema Wanawake wote wakiwa wamekaa tu Vitini katika hali ya Kupumzika Mbunye zao huwa na Urefu wa Sentimita 4 hadi 5, ila Mbunye zikiwa...
8 Reactions
58 Replies
706 Views
Wakuu natumai mu wazima wa afya njema. Awali ya yote ningependa niwape pole wanaume wenzangu mnaopambana kwaajili ya familia zenu ila mchango wenu unaishia kulipwa 1.Kiburi na kunyimwa unyumba...
5 Reactions
59 Replies
615 Views
Nasimama na mishangazi asee inajua inajua tena, Niko tayari kuoa mshangazi ndio vitu vyangu asee nipe nikupe
7 Reactions
62 Replies
675 Views
  • Featured
Wakuu Moyo wangu unaumia sana, naona kama unavuja damu kutokana na maumivu ninayoyapitia karibu kila siku. Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema...
22 Reactions
125 Replies
4K Views
Kuna kabila moja lipo kanda ya ziwa hilo kabila kubwa na maarufu sana watu wake kuwa washamba hili kabila inashangaza sana yaani wanawake au wasichana wake wanapenda sana kufanya mapenzi vichakani...
2 Reactions
13 Replies
235 Views
Kila mwanaume anapaswa kulinda tunu na ubingwa wa uwanaume wake aliyopewa na mungu kitendo chakutaka na kupenda wake za watu ni kuweka rehani tunzo na zawadi hiyo. Sasaivi mtu akijua tu unatoka...
6 Reactions
16 Replies
229 Views
  • Redirect
Tonnombe Mukoko aliyewahi kukipiga na Yanga atapeliwa nyumba na mkewe mrembo wa kibongo ajulikanae kwa jina la Trish. Tonnombe Mukoko alimuoa huyo dada pisi Kali kipindi anacheza Yanga na ndoa...
0 Reactions
Replies
Views
Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona...
15 Reactions
103 Replies
5K Views
Back
Top Bottom