Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,493
- 7,207
Natumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya.
1.Tukale nyama choma
2.Tunywe(japo mi situmii)
3.Tusikilize mziki(zilipendwa) like oriva ngoma na Samba mapangala
4.Tucheze
5.Tuwaescort waliolewa
Seran na kampani yako mnakaribishwa
N.B Nina pesa hapa haina kazi ukizingatia mi bado young killer