Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sio miguu ya bia sio makebo si smile.ngoz yao lain mno wanavutia kishezi.Afrika ina maunyama sana kwanza sauthi ni balaa tupu.
6 Reactions
17 Replies
216 Views
Wataalamu?
4 Reactions
77 Replies
764 Views
Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba...
9 Reactions
28 Replies
438 Views
Unafurahia mahusiano yako na kimapenzi, Ndoa,Urafiki,Ama unajutia.???? Kama ndiyo kwa nini ? Hapana kwa nini ? Ninyi wenye mahusiano yaliyofanikiwa ni Mambo gani/Hatua mlizopitia mpaka...
6 Reactions
360 Replies
26K Views
Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu...
34 Reactions
337 Replies
28K Views
Kuna baadhi ya familia zina migogoro mikubwa,ndugu hawapatani hawapendani wana chuki wivu na kijicho kati yao.Wengine wanafanyiana mambo ya ajabu hata kufikia hatua ya kuendeana kwa waganga,chuki...
20 Reactions
85 Replies
10K Views
Makebo,sura,sauti,tabia,manyonyo,miguu ya bia,walking style
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Sasa ninafuraha tele hivo vitu havitanisumbua tena.tayari nimepoteza hisia za kutaman na kupenda.asante sana mtaalam sasa nitakuwa tajiri #tagg kataa ndoa daima.
0 Reactions
10 Replies
133 Views
Kataa ndoa hawana stress daima hawateseki wao ni bata tuh.ila ndoa ni utapeli tuh hamna jipya #tagg kataa ndoa daima!!
1 Reactions
2 Replies
39 Views
Inategemea na mlango ulioingia maana kuna malango yaliyojaa taabu tele hapafai kabisa
4 Reactions
13 Replies
122 Views
Ladies and gentlemen Tuelewane frog style ni branch ya dog style lakini sio dog style..!! Naona wengi mnachanganya hapa! Hii ndio frog style 👇😹 Halafu kuna hii ndio dog style 🏃‍♀️‍➡️ Lengo...
32 Reactions
504 Replies
7K Views
Experience makes a person better or bitter. Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,,,, Wanawake wa kizazi hiki hawajui wanachotaka unaweza piga jitu ukaenda jela Bure na future...
6 Reactions
21 Replies
295 Views
Hello jf members Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
4 Reactions
60 Replies
598 Views
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania...
1 Reactions
10 Replies
222 Views
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu. Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa...
11 Reactions
71 Replies
887 Views
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Ongezeko la thamani kati ya mwanamke na mwanaume ni kinyume chake kulingana na ongezeko la umri,Thamani ya mwanamke ina pungua kadri umri unavyozidi kuongezeka wakati thamani ya mwanaume...
3 Reactions
6 Replies
215 Views
Katika maisha kila mtu Huwa na motives na matarajio ili kufanya maisha yake yawe apealing(mazuri) Ni sawa kabisa maana maisha bila kusudi au lengo hubaki tupu. Ila wengi wetu huwa na matarajio...
9 Reactions
46 Replies
383 Views
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo?? Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi...
153 Reactions
2K Replies
243K Views
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango. Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti...
15 Reactions
124 Replies
2K Views
Back
Top Bottom