Kwa wanawake swali lenu ni hili, je utakubali kuolewa na kijana ambaye umepata taarifa za KWELI kwamba alishaua mwanamke mwenzio kwa ajili ya wivu wa kimapenzi na ameshakaa jela ila kwa figusu za...
Bwana harusi mmoja chini Misri amepatwa na bahati mbaya ya ajali siku moja kabla ya harusi yake.
Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa...
Juzi nilienda kupima ukimwi katika mazungumzo na daktari aliweza kunielewesha namna michubuko inavyotokea na kupelekea maambukizi na sababu ambazo huwezi kukwepa kupata maambukizi ambazo ni pamoja...
Baada ya post mbalimbali hapa jf kuhusu wanaume wa Dar nimeamua kuja kujionea mwenyewe kama ni hadithi za kutungwa au ni kweli!90% ya post zinazosema mwanaume wa Dar ni lege lege ni kweli kabisa!
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5...
East Africa Television (EATV)
Mwanamke mnyanyua vyuma maarufu wa nchini Urusi, Natalia Kuznetsova, amesema anatamani kuwa na mchumba atakayemuoa baadae lakini wanaume wengi wamekuwa wanamuogopa...
Habari wanajamvi,
Leo ninawasogezea hii ambayo ni sehemu ya uzoefu nilionao katika maisha yangu ya mahusiano.
Mara nyingi imezoeleka na inafahamika hivyo, kwamba wanaume ndio walaghai katika...
Ni matumaini yangu nyote mko salama kabisa na mnalisongesha kinadharia na kama sio kivitendo sera ya viwanda.
Najitokeza kwenu kushare nanyi mkasa unaonikwaza na kuniumiza nafsi,to shorten huu...
Wadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh...
Hakika mwanamke ni wakuthaminiwa na kuheshimiwa katika jamii, japo leo mwanamke anakandamizwa na mfumo dume unamkandamiza kijinsia kiukweli bado wanawake tuna wajibu mkubwa sana.
Katika siku...
MWANAMKE ASIYEKUWA NA UPENDO KWA NDUGU WA MUME WAKE.... TAZAMA MUMEWE ALICHOKIFANYA
Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake...
"Mke wangu...
Salaam ziwafikie wote na amani ya muumba itulinde hadi siku inaisha salama,
Kama kichwa kilivyotangualia kuelezea,
Mada ni kwanini wanawake wanaofanya kazi kwenye mabar ama mahotel makubwa ama...
Hii story ya huyu jamaa imenichekesha na kunishangaza sana Hebu tiririka nayo
Mimi ni kijana mwenye miaka 29 na demu wangu ana miaka 24. Mimi ni rijali tu na mimi na demu wangu tunafurahia...
Serikali ya Burundi imewataka Watu wote walio katika Mahusiano ya kuanzia miezi Sita na kuendelea lakini hawajaoana wafanye hivyo upesi / haraka sana ndani ya miezi miwili tu ijayo vinginevyo hao...
Habari ya Leo Waungwana naomba kuuliza wanaume ni hivi napenda sana kumuona mume wangu amevaa Kanga yangu baada ya kikoi,mfano on weekend yuko nyumbani anavaa kanga yake ya kiuno chumbani ila...
Habari zenu wanajamvi,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada mwezi wa kumi mwaka huu niliamishiwa kikazi mkoani Manyara Babati mjini.
Nilihangaika kutafuta makazi nikafanikiwa lakini sasa...
Kama kichwa kinavyosema. Juzi nikiwa natoka Mkoa mmoja kuelekea mkoa wa jirani, niliketi na mwanamke mmoja mpuuzi sana.
Akaanza kuongeaaa nikabidili niivute bible yangu nikiwa naisoma kitabu...
Je, ni urefu au Unene?
Hukatwakatwa kama kisu na kurushwa mita kadhaa! Je, urefu wa uume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi?
Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.