Bwana harusi apigwa risasi sehemu nyeti siku moja kabla ya ndoa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,506
_98681228_aaca13ef-ccd5-4201-aea2-0920d1e37333.jpg


Bwana harusi mmoja chini Misri amepatwa na bahati mbaya ya ajali siku moja kabla ya harusi yake.

Wakati sherehe ilikuwa ikifanyika siku moja kabla ya harusi yake, risasi zilizofyatuliwa kusherekea zilimpiga mguuni, mkononi na sehemu ya nyeti ya uume wake.

Polis waliwaambia waandishi wa habari kuwa bwana harusi alipelekwa hospitalini huku uchunguzi ukiendea.

Mwanamume aliyetajwa kufyatua risasi hizo anaripotiwa kutoroka, lakini baaadaye alikamatwa na polisi.

Kisa hicho kimezua shutuma kwenye mitandao huku watu wengi wakitaka tamaduni ya kufyatua risasi wakati wa sherehe kukomeshwa.


BBC
 
Waarabu hua ni mataahira, hayana akili.

Atakunywa mkojo wa ngamia apone au ale nzi apone kama dini yao inavyowaamuru.
 
Fire arm safety.

Usielekeze silaha kwa mwenzako kama huna nia ya kumpiga risasi. Wengi hufanya utani, na huo utani unamwondoa mtu hivi hivi.
 
Back
Top Bottom