GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,727
- 128,229
Serikali ya Burundi imewataka Watu wote walio katika Mahusiano ya kuanzia miezi Sita na kuendelea lakini hawajaoana wafanye hivyo upesi / haraka sana ndani ya miezi miwili tu ijayo vinginevyo hao Wapenzi wote watashtakiwa na kufungwa Jela.
Maamuzi haya yameafikiwa na Serikali ya Burundi inayoongozwa na Rais mcheza mpira wa miguu mahiri sana Pierre Nkurunziza baada ya kugundua kuwa Wanaume wengi wamekuwa wakiwadanganya Wanawake wa nchi hiyo kuwa Watawaoa lakini wakishawabaioloji / tembea nao / ngonoka nao tu wanawaacha hivyo kuwafanya Wanawake wengi wa Kiburundi kupandwa na hasira na kuamua Kujiua / Kujinyonga hatimaye kupoteza nguvu Kazi tarajiwa, kusababisha ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI / Dally Kimoko na Uaminifu baina ya Wapenzi kupungua kabisa.
Natamani sana na siku moja huku nchini Tanzania Rais wetu Dkt. Magufuli nae apige huu mkwara / biti ili tuheshimiane na kwa jinsi ninavyowajua Wanaume wa Tanzania wengi wao walivyo players nina uhakika watajaza Magereza yote yaliyopo nchini kwa Kufungwa kwani ndiyo wanaoongoza katika Ukanda huu kwa kuwachezea na kuwarubuni mno Wanawake.
Kuna jirani yangu mmoja hapa sasa hivi ameshakuwa Mhenga / Mzee kabisa na alianzisha Mahusiano na huyu Mpenzi wake tokea Mimi nikiwa Form One lakini mpaka sasa ni mwaka wa 21 bado anasema bado anamchunguza tabia hivi hizi kama siyo Bange / Bangi zimeshamkolea ni nini? Yaani kweli unatiririka na kuserereka na Mbunye kwa miaka 21 bado tu haijakuridhisha kisha uimiliki Kihalali / Kisheria hadi leo?
Tafadhali Rais Dkt. Magufuli na Wewe piga huu mkwara / biti na tena Wewe usiwape hiyo miezi miwili ambayo mwenzako Rais Nkurunzinza amewapa Waburundi wake ila Wewe huku Tanzania wape tu wiki mbili nadhani utakuwa umesaidia kupunguza huu uhuni wa Wanaume wa Kitanzania wanaoufanya kwa Dada zetu / Wanawake wetu.
Nawasilisha.